Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Jamani mnatutenga humu jamvini tusiojua lugha hiyo........
Mjasiriamali umemaanisha nini hapo juu kwenye "Ekyawe kyawe kijunda nokala!" ???
yani chako unakula mwenyewe
 
Huu uzi hauna maana kama hamuweki tafsiri za misemo hii.
 
agikuwela amulyango, ...... Natiina Iba,

yaani anayekubali mfanye mapenzi sebuleni anamuogopa mmewe
 
Back
Top Bottom