Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Una demu Muhaya?
Hapana, mimi napenda kujua misemo na lugha mbalimbali tu.

Najifunza sana Kisukuma,Kiingereza, Kiswahili, Kilatini, Kifaransa, Kihispania, na kujua maneno machache ya Kihaya si vibaya.
 
Ok good mkuu
 
Unajua kila neno la Kihaya lina chimbuko lake na ndiyo maana hii lugha ina kila sifa ya kuwa lugha ya kimataifa. Inatumia punctuation signs zote, tenses zote n.k kitu ambacho lugha nyingine za kibantu hazina.
Mfano: Naenda kanisani
Wasiojua KIhaya wananaandika ... Ningya omu Ishomelo / Ningya omu Kanisa
Wanaojua Kihaya tunaandika .. Ningy'Omwishomelo / Ningy'Omukanisa.

Kuna kipindi tulitaka kuanzisha mafunzo ya lugha hii kimtandao lakini kuna mambo yalileta changamoto .. ila hii lugha .. basi tu! Na ndiyo maana ni raisi hata kwa wengine kujifunza tofauti na lugha za kibantu nyingine.
Nahitaji sana mkuu.. Mafunzo
 
Ila mimi napenda kuuliza swali,kwanini wahaya wengi hasa akina mama wanajua sanaa madawa ya mitishamba haya?but pia niwe mkweli wengi wao poa wana ushirikina sana kwanini?
 
Mmmmh,kwa habari ya matumizi ya mitishamba nilidhani Wamasai?
 
Mkiandika kihaya wekeni na tafsiri za kiswahili wengine tujifunze pia basi.
Hawa wanataka kutambuana humu kama huwajui...ndo maana nimeona comment ya mmoja kauliza, iwe oliwomuka? Maana yake nawewe ni Wa kwetu?

Tabia hii ya kujinasibisha kikabila siyo njema...japo ndo nature ya kabila lenyewe...
 
Haaaaa haaaaa.....JF raha sana
 
Hawa wanataka kutambuana humu kama huwajui...ndo maana nimeona comment ya mmoja kauliza, iwe oliwomuka? Maana yake nawewe ni Wa kwetu?

Tabia hii ya kujinasibisha kikabila siyo njema...japo ndo nature ya kabila lenyewe...
Mimi sioni ubaya.

Kutaka kujuana kwa kabila kwenyewe si kubaya, pengine wanataka watu wa kuzungumza nao kikwao.

Kunaweza kuwa na ubaya kama wanataka kufanya kingine cha ubaya zaidi, lakini kutaka kujuana tu hakuna ubaya.
 
Hawa wanataka kutambuana humu kama huwajui...ndo maana nimeona comment ya mmoja kauliza, iwe oliwomuka? Maana yake nawewe ni Wa kwetu?

Tabia hii ya kujinasibisha kikabila siyo njema...japo ndo nature ya kabila lenyewe...
Kuna mawili wenda huna kabila(mkimbizi) au kikabila chakp cha hovyo..! Mgogo au mumakonge...
 
Back
Top Bottom