Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Mkuu achana na hii thread, aina chochote cha maana kwa jamii. Wala isikuumize kichwa bure.Dah
Kweli ninyi ni wabaguzi.
Kwa nini msitumiane kwenye PM hizo gambirishaija zenu?
Je public inafaidika nini na ujinuni wenu??
Jaribuni kuwa moderate au la nendeni to HELL gadem zenu
Nasema haina la maana. Endelea kukata issue kwenye zile thread nyingine.
Nadhani kuna wahaya wako oversease wanajaribu kujikumbushia home maana hawana wa kuzungumza nao huko🙂