Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Dah
Kweli ninyi ni wabaguzi.
Kwa nini msitumiane kwenye PM hizo gambirishaija zenu?
Je public inafaidika nini na ujinuni wenu??

Jaribuni kuwa moderate au la nendeni to HELL gadem zenu
Mkuu achana na hii thread, aina chochote cha maana kwa jamii. Wala isikuumize kichwa bure.
Nasema haina la maana. Endelea kukata issue kwenye zile thread nyingine.
Nadhani kuna wahaya wako oversease wanajaribu kujikumbushia home maana hawana wa kuzungumza nao huko🙂
 
thanx mkuu
povu lilishaanza kunitoka
 
Waitu abagurusi mwaiyukayo omukai! ebilo bikulu mwaija mwabimalagei?

Nimbaza mbali nakukwasa empoya za Buhaya omuli-Darisalamu yaitu egi, ni nkai, mujune batata na bamawe.
 
Ni kweli mkulu,,huyo inabidi umuogope kama ukoma!Yakushuba amushaba!
 
Waitu abagurusi, abakama ba JF mukozile muno! Kandi naba naboine si okwo mtaile-mu ezi e-changes!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom