Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Kuna THE GAME anasema yeye ni rapa bora kuliko EMINEM
View attachment 1419347
Ndiye king of freestyles zinazomake sense na hajuna anaepinga, unashauriwa kuwa na dictionary pembeni maana nahisi anajua maneno yote, Ole wako!!Ole wako ujitie wenda wazimu uanzishe bifu na hiki kiumbe

Kumdisi eminem ni kama kumuua mbwa wa john wick, eminem na huyu bwana nahisi wana undugu maana wote wanateketeza kwa kalamu.

Yanni eminem kitendo cha kukujibu ukimdisi ni kama anakuchimia kaburi la career yako ujizike mwenyewe.

Huwezi kumdisi mtu ambaye tayari anajidiss, waliocheki 8 mile ya eminem nadhani mshanipata

Kina jarule wallijaribu wakateketea mazima, kina machine gun kelly nao wakunga tela, nick canon nahisi kaanza kutumia madawa maana sijui hata kapata hii confidence wapi.

Japo kina tupaccama notorious big walikuwepo vizuri, ila sidhani kama wamefika hata nusu ya eminem ila tatizo tu labda ni mzungu ndio mana wengi hawamp heshima anayostahili
 
Eminem is overrated....
Kuna ma emcee kibao wanamkalisha em....
Watu kama akina cassidy, dizaster,Canibus,EYEDEA(RIP),na wengine kibao.
Nyie ma stan mna mahaba mazito kwa huyo pimbi.
Cassidy? Shuleless
 
Back
Top Bottom