Emirates Airlines: Kiboko ya Mabishoo!

Emirates Airlines: Kiboko ya Mabishoo!

Msamehehni huyu dogo anajifunza ku type!
 
Huenda wewe ni Ngumbaru mwenzangu huwa tunajaa chuki tujisikia mtu kakwea pipa Kama Hilo.
Dooo!! kweli Dunia uwanja wa fujo!!......sikuju kuwa watu mko ivo??...... badala ya kufurahi mwenzako kapanda basi mfuate akupe mbili tatu na weye uwendemo!! ufaidimo!! unakasirika mweee!!.....ndo maana kuumbe niko mbali sana ...siji huko ng'oooo!! mtasubiri sana!

Siku nikija tembea huko mtakuwa mmesha kufa woooo!!te!
 
Tumejaa chuki binafsi
 
Back
Top Bottom