Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Aliyekuwa Mweka Hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Emma Kimambo amemshukia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema akidai kuwa amesababisha maumivu ya kisiasa kwa watu wengi wa Arusha na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla wake, hatua iliyopelekea baadhi yao kufukuzwa na wengine kuhama ndani ya chama hicho
Emma Kimambo ameeleza hayo wakati akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Mei 10.2025 jijini Dar es Salaam, ambapo amesema amelazimika kueleza yote hayo kufuatia Mbunge huyo wa zamani wa Arusha mjini kutoa lugha za kuudhi kwa waambata wa G-55
Pia soma Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025