Emmanuel Allute Jr: Polepole hatutakubali kuona ukipingana na Rais wa nchi hadharani. Huyu sio Rais wa CCM

Emmanuel Allute Jr: Polepole hatutakubali kuona ukipingana na Rais wa nchi hadharani. Huyu sio Rais wa CCM

Separately, Pfizer-BioNTech said that the ongoing phase 3 clinical trial of its mRNA vaccine shows that strong immunization persists for at least 6 months among vaccinated individuals.


Mnaomtetea Mama na kuwaponda wasiotaka chanjo ni wapuuzi sana
 
Wako watu wa ajabu sana taifa hili?
Chanjo nyingine nani kasema ni lazima kwa kila mtu? Wako watu wanafukuzwa kazi huko Marekani na ulaya kwa kukataa kuchanja hilo hulioni? Hivyo ni suala la muda tu masharti haya kufika Tanzania kwa vile tulishakubali msaada wa chanjo yao unaombatana na kusaini hati ya kujihukumu kabla ya kupokea chanjo ili ukipata madhara yanayo sababishwa na chanjo yenye mashaka iwe ni juu yako.

Nani alisha fukuzwa kazi kwa kutokuchanjwa ndui ama polio? Chanjo gani kwenye hizi za zamani ukichomwa una ambukiza wengine kama hizi za corona? Wewe hujaona hii ni visious circle ya chanjo kucreate demand na supply ya chanjo hivyo biashara ya haya makampuni makubwa ya madawa duniani?

Hujiuulizi kwa nini China kwa mfano watoe masharti kuingia china lazima uchanjwe chanjo yao? Polepole anaweza kumuonea ghubu ambaye kamshinda hata kiuwezo wa uongozi? Acheni kupiga politiki kwenye maisha na uhai wa watu wa Mungu wa Mbinguni.

JPM alitangaza hadharani corona iko na watu nyumbani kwake waliumwa hakuna mtu yeyote Tanzania aliye kataa kuwa hamna corona zaidi ya upotoshaji wa baadhi ya wanasiasa mufilisi wa hoja na mawakala wao.
 
Leteni hoja zenye nashiko mambo ya kutukana watu kama watoto wa hovyo2 hatutaki!
 
Anachokifanya Polepole ni Uhaini na uuwaji,

Polepole anatusumbua sana kwenye hii nchi, tangu enzi za mwendazake polepole ni Msumbufu Sana,
Anamdharau Samia kwakuwa ni mwanamke,
Tunajua wanamtengeneza mtu wao kuwa Rais 2025 ndio maana wanamfanya Samia asiaminike kwa wananchi,
Polepole should stop huo upumbafu wake wakujifanya eti mtetezi wa wanyonge wakati ni hawahawa wameiharibu hii nchi kila kona,


Eti umesema anamdharau Samia kwa kuwa ni mwanamke?

Sizani !

Hiyo inaweza kutafsiriwa kama inferiority complex iwapo mtakuwa mnachukulia hivyo!

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi!
 
Mwisho polepole akasema walio chanjwa na wasio chanjwa tusilazimishane kuchanjwa au kutokuchanjwa ni hiari yako...naona unatumia nguvu nyingi sana tuchanjwe.
 
Tangu lini Polepole amekuwa na akili wewe ,

Huyuhuyu aliyesema hatak UDC alipoteuliwa akachukua

Huyu huyu aliyesema katiba mbovu akapewa V8 akasema katiba inafaa,

Huyu huyu aliyesema CCM sikitu itakabidhi dola 2015 kwa Upinzan,

Polepole aache kumdhalilisha Rais wetu tunamuonya ashike adabu yake
mtoa mada ovyoo hajielewi polepole ni mtu makini sana na anajitambua
 
Hili Zero brain la wapi?
Rudia kusoma binafsi nimemwelewa sana huyu jamaa, anayo brain,

Pole hana hoja wala haelewi chochote yaani watu wafe kisa elfu 22?

Jamaa uenezi ulimlipa sana that's why ila sio kwamba anaamini anachokisema
 
Wahamiaji ndani ya CCM ni wasumbufu sana.

CCM si chama cha kuchezewa.

#SiempreJMT
#SiempreCCM
 
Nyie wote mnaomtetea Samia hamtumii akili

muwege mnasoma, haya ni maandiko kutoka page ya WHO...
UNATATIZO KUBWA,
___________________

SOMA TENA NILICHOANDIKA,

Mgogoro Wangu na Polepole ni,

1. Kupingana na Amiri Jeshi Mkuu hadharani,

2. Kukataa chanjo kwa kisingizio cha gharama,

3. Kujifanya yeye ni mwenye imani kuliko watu wote 4.51 waliokufa kwa Corona,

4. Kujifanya anamtetea Mungu wakati najua Mungu wakati wote amekuwa akijitetea mwenyewe,

5. Kutumia umaarufu wake ndani ya Chama kuzuia agenda za Rais,

6. Kuendeleza misimamo ya awamu ya 5 kwenye awamu 6.

7. Kuthamani pesa kuliko Uhai wa Watanzania,
 
|MASWALI KUMI KWA POLEPOLE


Na. Emmanuel Allute Jr,
_________________________


1. Kwanza nakupa tano kwakuwa umekiri Corona ipo na inaua,Kwataarifa tu duniani,zaidi ya watu 217M wamepatwa na Corona na kati yao watu 4.51M wamekufa,wamo wachungaji,Mapadre,Masista,Ma-alhaji,Wainjilisti, Maaskofu,Mashekhe,Maimamu,Mitumie,Manabii,wazalendo kama wewe etc |Swali... Je, Wewe kama H|Polepole ndg yangu wa Ukimbu Itigi|Manyoni U-zaidi ya hawa watu 4.51M,Watanzania tunakufahamu bro, Nikweli unao-Wema wa kutosha kuwazidi hawa wote waliolala|kufa?!!

2. Unasema Chanjo ni mkakati wa kibiashara toka kwa Mabeberu fine,Bei ya J&J ambayo tunaitumia ni US$10 sawa na Tshs 22,000 wakati bei ya Chanjo ya homa ya Manjano ( Yellow fever) ambayo nayo ni yamabeberu japo wewe huitazami kwa jicho la kibiashara ni US$ 14 sawa Tshs 30,000 au US$ 50 kwa Wageni, |Swali ...Je, huoni kama kinachokusumbua wewe ni Hisabati tu,Sinikweli kwamba gharama ya Chanjo yako ya manjano ni kubwa kuliko hata hii ya Corona ambayo leo unaipinga? Lakini pia,Pesa inatafutwa,vipi kuhusu Uhai wa binadamu wenzako?

3. Nimekusikia pia unazungumza kuhusu imani,Kibiblia imani ni kuwa na hakika na mambo unayoyatarajia,bayana ya mambo usiyoyaona,Yaani "Unatarajia ila bado hujapokea " |Swali, Je nikweli chanjo tuliyoitarajia kwa imani bado hujaiona au kusikia?,Je Mungu aliyetupa chanjo ya Manjano leo kabadilika na hawezi tena kutupa hizi J&J,Pfezer,Moderna,Covovax,Astra Zeneca etc

4. Nikikutazama usoni ni kama unaghubu hivi sijui ni kwanini ila majibu unayo wewe, |Swali...Je, Nikweli kwamba unataka kutumia ghubu hilo kuonesha nguvu yako ya Ushawishi ulionao kwa gharama ya maisha ya masikini hawa wanaoishi kwa nguvu ya Propaganda tena wasio na hatia yoyote juu yako?Hivi unadhani liability yako kwa Taifa ni kubwa kuliko ile ya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan?!! Umepatwa na nini bro!!?

5. Mhe Rais ametoa hiari kwenye chanjo na Yeye kama Rais wa JMT akaonesha Umuhimu wa chanjo kwa Kuchanjwa Yeye wa kwanza akionesha kuwa "Chanjo ni "HIARI" lakini "MUHIMI " |Swali... Je, Wewe kama kiongozi mkuu mstaafu wa Chama na Serikali unapata wapi ujasiri wa kuondoa "UMUHIMU" ulioko kwenye Chanjo na kuanza kuhamasisha "HIARI" kinyume na kauli|matendo ya Mkt wa Chama Taifa,Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT?

NB, Nikwamuda gani chanjo inadumu mwilini | Uhai wa binadamu hata kwa dk 30 bado ni wamuhimu sana kuliko elfu 22

|Tanzania Tuna chanjo 15 na zote ni za mabeberu hawahawa ,Twendeni tukachanjwe so far ni Rais ndio anatulipia chanjo zote tangu awali,


...Nitaendelea |Kazi iendelee


alluteemmanuel@gmail.com




Ndugu ,je unajua kuwa:Basil Mramba amekufa kwa chanjo?Asasi amekufa kwa chanjo,na Prof Masawe amekufa kwa hiyo chanjo.Endelea na ujinga wako.
 
Back
Top Bottom