Emmanuel Allute Jr: Polepole hatutakubali kuona ukipingana na Rais wa nchi hadharani. Huyu sio Rais wa CCM

Separately, Pfizer-BioNTech said that the ongoing phase 3 clinical trial of its mRNA vaccine shows that strong immunization persists for at least 6 months among vaccinated individuals.


Mnaomtetea Mama na kuwaponda wasiotaka chanjo ni wapuuzi sana
 
Wako watu wa ajabu sana taifa hili?
Chanjo nyingine nani kasema ni lazima kwa kila mtu? Wako watu wanafukuzwa kazi huko Marekani na ulaya kwa kukataa kuchanja hilo hulioni? Hivyo ni suala la muda tu masharti haya kufika Tanzania kwa vile tulishakubali msaada wa chanjo yao unaombatana na kusaini hati ya kujihukumu kabla ya kupokea chanjo ili ukipata madhara yanayo sababishwa na chanjo yenye mashaka iwe ni juu yako.

Nani alisha fukuzwa kazi kwa kutokuchanjwa ndui ama polio? Chanjo gani kwenye hizi za zamani ukichomwa una ambukiza wengine kama hizi za corona? Wewe hujaona hii ni visious circle ya chanjo kucreate demand na supply ya chanjo hivyo biashara ya haya makampuni makubwa ya madawa duniani?

Hujiuulizi kwa nini China kwa mfano watoe masharti kuingia china lazima uchanjwe chanjo yao? Polepole anaweza kumuonea ghubu ambaye kamshinda hata kiuwezo wa uongozi? Acheni kupiga politiki kwenye maisha na uhai wa watu wa Mungu wa Mbinguni.

JPM alitangaza hadharani corona iko na watu nyumbani kwake waliumwa hakuna mtu yeyote Tanzania aliye kataa kuwa hamna corona zaidi ya upotoshaji wa baadhi ya wanasiasa mufilisi wa hoja na mawakala wao.
 
Leteni hoja zenye nashiko mambo ya kutukana watu kama watoto wa hovyo2 hatutaki!
 


Eti umesema anamdharau Samia kwa kuwa ni mwanamke?

Sizani !

Hiyo inaweza kutafsiriwa kama inferiority complex iwapo mtakuwa mnachukulia hivyo!

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi!
 
Mwisho polepole akasema walio chanjwa na wasio chanjwa tusilazimishane kuchanjwa au kutokuchanjwa ni hiari yako...naona unatumia nguvu nyingi sana tuchanjwe.
 
Tangu lini Polepole amekuwa na akili wewe ,

Huyuhuyu aliyesema hatak UDC alipoteuliwa akachukua

Huyu huyu aliyesema katiba mbovu akapewa V8 akasema katiba inafaa,

Huyu huyu aliyesema CCM sikitu itakabidhi dola 2015 kwa Upinzan,

Polepole aache kumdhalilisha Rais wetu tunamuonya ashike adabu yake
mtoa mada ovyoo hajielewi polepole ni mtu makini sana na anajitambua
 
Hili Zero brain la wapi?
Rudia kusoma binafsi nimemwelewa sana huyu jamaa, anayo brain,

Pole hana hoja wala haelewi chochote yaani watu wafe kisa elfu 22?

Jamaa uenezi ulimlipa sana that's why ila sio kwamba anaamini anachokisema
 
Wahamiaji ndani ya CCM ni wasumbufu sana.

CCM si chama cha kuchezewa.

#SiempreJMT
#SiempreCCM
 
Nyie wote mnaomtetea Samia hamtumii akili

muwege mnasoma, haya ni maandiko kutoka page ya WHO...
UNATATIZO KUBWA,
___________________

SOMA TENA NILICHOANDIKA,

Mgogoro Wangu na Polepole ni,

1. Kupingana na Amiri Jeshi Mkuu hadharani,

2. Kukataa chanjo kwa kisingizio cha gharama,

3. Kujifanya yeye ni mwenye imani kuliko watu wote 4.51 waliokufa kwa Corona,

4. Kujifanya anamtetea Mungu wakati najua Mungu wakati wote amekuwa akijitetea mwenyewe,

5. Kutumia umaarufu wake ndani ya Chama kuzuia agenda za Rais,

6. Kuendeleza misimamo ya awamu ya 5 kwenye awamu 6.

7. Kuthamani pesa kuliko Uhai wa Watanzania,
 
Ndugu ,je unajua kuwa:Basil Mramba amekufa kwa chanjo?Asasi amekufa kwa chanjo,na Prof Masawe amekufa kwa hiyo chanjo.Endelea na ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…