Emmanuel Buhohela: Hatuna taarifa rasmi kuwa Uingereza ilipiga marufuku wasafiri kutoka nchini Tanzania kuingia nchini humo

Emmanuel Buhohela: Hatuna taarifa rasmi kuwa Uingereza ilipiga marufuku wasafiri kutoka nchini Tanzania kuingia nchini humo

Wampe mwenyekiti wao tiketi ya kwena London ndipo watapata taarifa kwamba hawaruhusiwi kuingia huko..
 
Wanataka UK wapoteze muda kuandikia Panya buku barua za kuwazuia wasiingie UK!
 
Safi sana umemjibu vema kabisa south Africa ilikuwa nchi ya kwanza raia wake kuzuiliwa kuingia UK,tatizo kubwa hawa middle class wetu ni manyumbu mno na mpaka wanakera.
Mfumo wa akili wameujenga uwe unakataa chochete chema chá Tanzania, na ikitokea kikawa chema basi lazima kichafuliwe na bila aibu hata ilikidi kupotoshwa.

Wanajenga ushujaa wa ujinga katika mifumo ya kufikiri na uchambuzi.
Kwa kulazimisha akili isikubali kitu chochete cha chema na cha kweli.

Nina wasi wasi muda sio mrefu nadhani wata wakataa wazazi wao ao kwa sababu tuu ni kweli ndio walio wazaa.

Na naona ni sera ya kundi fulani kuwa " ukweli lazima upingwe".

Nimejiunga na JF tangu 2013, sikuwa active muda mwingi, kuanzia 2019 nimekuwa active, ime nielimisha sana ya jinsi ya social / work engagement na kundi kubwa tuu la vijana ninao jihusidha nao kutafuta risiki. Bahati nzuti wapo zaidi ya mia humu. Tunaweza kuwa wapinzani lakini tunajua mazuri ya nchi yetu.
 
Ni kweli kwamba serikali haifanyii kazi taarifa za kidiplomasia kupitia mitandaoni.

Serikali inayo ofisi katika wizara ya mambo ya nje ambayo inahusika na masuala kama haya yanayohusu mahusiano ya kidiplomasia.

Pia tunaye mwakilishi wetu katika ubalozi wa nchi yetu huko uingereza.

Pia tunaye balozi wa uingereza hapa nchini ambaye ana iwakilisha nchi hiyo hapa kwetu.
Hivyo vyote ni vitengo mahususi katika upeanaji taarifa nyeti kama hizo kiserikali.

Mitandaoni sio mahali pake.
Jiulize swali dogo....je serkali yetu nayo ikijibu kupitia MITANADAONI.
Ina maana tuanzishe mipasho kwenye mitandao?
Je nini itakuwa umuhimi wa ubalozi?
Hao wawakilishi wote uliowataja, ukiangalia kwa makini utajua kama hawajui walifanyalo!
Kuanzia na huyo anaesema kuwa hakuna taarifa yeyote,
Hii taarifa jana imetangazwa na vyombo vikubwa vya habari ulimwenguni.

Sasa wenye dhamana ya kufuatilia na kutoa ufafanuzi kwa watanzania si ndio hao wanaosema hawajui lolote!

Kwamba wananchi tuendelee tu kama tulikuwa na mipango ya kwenda uk na hakuna lolote jipya!!?

Kama kweli hawajui, hakuna sababu yeyote ya wao kuendelea kuwepo ofisini, na sio kuwatetea"

Eti hawana taarifa!!?
 
Huyo naye kashakunywa maji ya bendera,yaani uweledi aliotoka nao ITV naona kayasahu palepale ITv
 
Kama Serikali haifuatilii habari za mitandaoni sasa mbona watu wanashitakiwa kwa habari za mitandaoni. Mbona kuna TCRA!!?
Juzi nilimsikia malaika mkuu kiongozi wa nchi ya wagagikoko anasema anawashukuru sana watu wa mitandao kuibua suala la shule pale ubungo wilayani Ugagikokoni
 
Tena wafikirie, mbona Afrika Kusini yenywe chanzo cha hiyo aina mpya ya covid hawakuipiga marufuku?
Kwa wenye maono, tatizo linakwenda ndani sana.
Lakini watakwambia: hatuna haja ya kwenda Uingereza!
Wachina wanatutosha
 
Hapa ni sawa na umepigwa kibuti, mtu katangaza Twitter kwa dunia nzima kwamba kakupiga kibuti,halafu unang'ang'ania kwa kujibalaguza na kusema hujapata barua ya kupigwa kibuti.
 
Ni kweli kwamba serikali haifanyii kazi taarifa za kidiplomasia kupitia mitandaoni.

Serikali inayo ofisi katika wizara ya mambo ya nje ambayo inahusika na masuala kama haya yanayohusu mahusiano ya kidiplomasia.

Pia tunaye mwakilishi wetu katika ubalozi wa nchi yetu huko uingereza.

Pia tunaye balozi wa uingereza hapa nchini ambaye ana iwakilisha nchi hiyo hapa kwetu.
Hivyo vyote ni vitengo mahususi katika upeanaji taarifa nyeti kama hizo kiserikali.

Mitandaoni sio mahali pake.
Jiulize swali dogo....je serkali yetu nayo ikijibu kupitia MITANADAONI.
Ina maana tuanzishe mipasho kwenye mitandao?
Je nini itakuwa umuhimi wa ubalozi?
Dame Fool.
 
Tena wafikirie, mbona Afrika Kusini yenywe chanzo cha hiyo aina mpya ya covid hawakuipiga marufuku?
Kwa wenye maono, tatizo linakwenda ndani sana.
Lakini watakwambia: hatuna haja ya kwenda Uingereza!
Afrika kusini ndio nchi ya Kwanza kupigwa marufuku na kila kukicha marufuku zinaongezeka tuu mara jana nimesikia Dubai nao baada ya Singapore na China kupigwa marufuku sio kutengwa ugonjwa ukipungua shughuli zinaendelea Kama kawaida sema ninyi sijui mnaelewa nini au mmekaririshwa nini juu ya hilo...
 
Tena wafikirie, mbona Afrika Kusini yenywe chanzo cha hiyo aina mpya ya covid hawakuipiga marufuku?
Kwa wenye maono, tatizo linakwenda ndani sana.
Lakini watakwambia: hatuna haja ya kwenda Uingereza!
South nayo ipo kwenye hiyo chain ya kuingia uingereza kitambo kabla hata ya hiyo taarifa yenu
 
Mbona anakuwa Mjinga hivyo, alitaka hizo taarifa apelekewe nyumbani kwake ama? Au alitaka zipelekwe Chato?
 
Hakuna shida, kama huna taarifa basi panda pipa kesho uende Heathrow, you will see
 
Don't be stupid, majahili wanautaratibu rasmi wa kuwasiliana na serikali ?? Kama huo alioelezea msemaji wa wizara?
Mbona una mix mangoes, with pumpkins??
 
Mkuu habari za mitandaoni inafuatiliwa kwa karibu sana kama jipu linalotaka kupasuka.

Tatizo nani aanze kuwasilisha hatua za barua za kiserikali.

Ingekuwa ni majahili wanatoa angalizo kuwa watashambulia, habari za kimtandao zitashughulikiwa bila barua rasmi.
Don't be stupid, majahili wanautaratibu rasmi wa kuwasiliana na serikali ?? Kama huo alioelezea msemaji wa wizara?
Mbona una mix mangoes, with pumpkins??

Quote
 
Tena wafikirie, mbona Afrika Kusini yenywe chanzo cha hiyo aina mpya ya covid hawakuipiga marufuku?
Kwa wenye maono, tatizo linakwenda ndani sana.
Lakini watakwambia: hatuna haja ya kwenda Uingereza!
Punguza siasa!
Inaonekana wewe unaongea kishabiki zaidi, FYI, Afrika Kusini ndio walikuwa wa kwanza kupigwa hiyo pini tangu mwishoni mwa mwaka jana baada tu ya kugundulika hihi kirusi kippa:

Angalia hapa chini kama unajua kusoma kidhungu:
 
Don't be stupid, majahili wanautaratibu rasmi wa kuwasiliana na serikali ?? Kama huo alioelezea msemaji wa wizara?
Mbona una mix mangoes, with pumpkins??

Quote
Stupid as it goes, terrorrists walioenda shule wanatoa tahadhari mapema tu kwamba kuna bomu mahali na litalipuka within 10 minutes.
 
Stupid as it goes, terrorrists walioenda shule wanatoa tahadhari mapema tu kwamba kuna bomu mahali na litalipuka within 10 minutes.
U continue to show your stupidness, the Key is the formal communication btn various parties , ya terrorrist ndio hiyo unayo bwaja bwaja, lakini ya serikali au nchi sio hiyo unayo shadadia.
 
U continue to show your stupidness, the Key is the formal communication btn various parties , ya terrorrist ndio hiyo unayo bwaja bwaja, lakini ya serikali au nchi sio hiyo unayo shadadia.
We pusi unajitia kujua lakini you just another hollow thinking scatter brained nincompoop.
 
Back
Top Bottom