Pre GE2025 Emmanuel Chacha: Mbowe akichaguliwa tena Mwenyekiti nitaachana na CHADEMA milele

Pre GE2025 Emmanuel Chacha: Mbowe akichaguliwa tena Mwenyekiti nitaachana na CHADEMA milele

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
Hali si shwari CHADEMA lolote laweza kutoka ni chama kufa au kupona, tuiombee sana CHADEMA
IMG-20250120-WA0128.jpg
 
Hali si shwari CHADEMA lolote laweza kutoka ni chama kufa au kupona, tuiombee sana CHADEMA
View attachment 3207259
Assenga mchaga yakhe
Tumpe Pole Emmanuel CHACHA alikuwa hajui Kuwa siasa Ya Tanzania ni Mchaga Original itoke iende Wapi!?

600px-Marangu19.jpg









Wikipedia
Tafuta

Wachagga​

kabila la Kenya na Tanzania

Wachagga[1] ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.
Nyumba ya asili huko Marangu.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.[2] Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi yao ni watu 2,000,000. Hata hivyo kabila hilo ni kama mchanganyiko wa makabila madogomadogo yenye lugha tofauti, jambo la pekee nchini Tanzania.
Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara, kilimo na kazi za ofisini.

Vikundi vya Wachagga/Fitina​



Lugha ya Kichagga/FITINA​





Koo za Kichagga/FITINA​









Utawala wa jadi wa Wachagga/FITINA​



Elimu kati ya Wachagga/FITINA​








Ardhi/FITINA​




Kilimo na chakula/FITINA​









Maoni juu ya Wachagga/FITINA​
















Tanbihi/FITINA​




Marejeo/FITINA​






Viungo vya nje/FITINA​




mwisho imehaririwa miezi 5 iliyopita na Riccardo Riccioni


Wikipedia

 
Hali si shwari CHADEMA lolote laweza kutoka ni chama kufa au kupona, tuiombee sana CHADEMA
View attachment 3207259
sio muhimu na wala sio Lazima uwe mwana chama wa chadema milele.
kwani ana nini cha ziada zaidi ya kuburi na unafiki.

kila mtanzania ana uhuru na haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa bila mayowe gentleman 🐒
 
Ondoka haraka saivi kwani chama kilikuambia kinakuhitaji? Wewe unajiona unaumuhimu kuliko Mbowe??
Hatuachii chama kikaoshia mikononi mwa wahuni,wavutabangi na waropokaji!!
 
Back
Top Bottom