Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tume msikia.Hali si shwari CHADEMA lolote laweza kutoka ni chama kufa au kupona, tuiombee sana CHADEMA
View attachment 3207259
Mfumo na Mbowe ndicho wanachosubiri. Kuipukutisha Chadema kama TLP, NCCR na CUFHali si shwari CHADEMA lolote laweza kutoka ni chama kufa au kupona, tuiombee sana CHADEMA
View attachment 3207259
kwendraaaaaaa huko huna contribution yoyote kwa chamaHali si shwari CHADEMA lolote laweza kutoka ni chama kufa au kupona, tuiombee sana CHADEMA
View attachment 3207259
Kwasababu cdm haifanyi siasa za kiccm, basi inatakiwa ionekane imewakatisha sana watu tamaa.Kwa Ujumla vyama vya Upinzani Tanzania specifically CHADEMA mmonyesha bado sana. Mmewakatisha watu wengi sana tamaa this time. Itachukua miaka mingi sana watu kuanza kuwafikiria. Maturity 0% Emotional intelligence 0%, selfishness 100% etc
Pumbavu!Tumpe Pole Emmanuel CHACHA alikuwa hajui Kuwa siasa Ya Tanzania ni Mchaga Original itoke iende Wapi!?
View attachment 3207267
Tafuta
Wachagga
kabila la Kenya na Tanzania
Wachagga[1] ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.
Nyumba ya asili huko Marangu.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.[2] Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi yao ni watu 2,000,000. Hata hivyo kabila hilo ni kama mchanganyiko wa makabila madogomadogo yenye lugha tofauti, jambo la pekee nchini Tanzania.
Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara, kilimo na kazi za ofisini.
Vikundi vya Wachagga/Fitina
Lugha ya Kichagga/FITINA
Koo za Kichagga/FITINA
Utawala wa jadi wa Wachagga/FITINA
Elimu kati ya Wachagga/FITINA
Ardhi/FITINA
Kilimo na chakula/FITINA
Maoni juu ya Wachagga/FITINA
Tanbihi/FITINA
Marejeo/FITINA
Viungo vya nje/FITINA
mwisho imehaririwa miezi 5 iliyopita na Riccardo Riccioni
![]()
- Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo.
- Sera ya faragha
- Masharti ya matumizi
- Dawati
Mkapa Jagwani sijui Atarudi tumemmisi SANA😂😂😂😂😂😂Pumbavu!
Pumbavu!Mkapa Jagwani sijui Atarudi tumemmisi SANA😂😂😂😂😂😂
Watu wajinga wabaki CCM.Sasa kama chama hakihitaji watu malengo yake ni nini?
Mbona mmeishiwa akili?
Mwenye kazi shikamoo nawe utakuwa na ile siasa ya msimamizi wa uchaguzi 2025 maana ulitaka UNICHUKIE nisiposhiriki Maandamano 2025Pumbavu!
Tumpe Pole Hilda alikuwa hajui Kuwa siasa Ya Tanzania ni Mchaga Original itoke iende Wapi!?Assenga mchaga yakhe
Awamu hii cdm itabaki na wahuni machawa tu.Walihama kina Zitto Kabwe na bado Chadema kilibaki kuwa imara.
Hali si shwari CHADEMA lolote laweza kutoka ni chama kufa au kupona, tuiombee sana CHADEMA
View attachment 3207259
Umeniundia kikosi maalumu nisipo shiriki maandamano 2025. Tunataka Fitina za uchaguzi wenu tuzitumie tafadhariPumbavu!
Tumpe Pole Hilda alikuwa hajui Kuwa siasa Ya Tanzania ni Mchaga Original itoke iende Wapi!?Assenga mchaga yakhe
Nimecheka kinomaaaaa yaan hii kitu imeiokota wap??Tumpe Pole Emmanuel CHACHA alikuwa hajui Kuwa siasa Ya Tanzania ni Mchaga Original itoke iende Wapi!?
View attachment 3207267
Tafuta
Wachagga
kabila la Kenya na Tanzania
Wachagga[1] ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.
Nyumba ya asili huko Marangu.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania.[2] Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi yao ni watu 2,000,000. Hata hivyo kabila hilo ni kama mchanganyiko wa makabila madogomadogo yenye lugha tofauti, jambo la pekee nchini Tanzania.
Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara, kilimo na kazi za ofisini.
Vikundi vya Wachagga/Fitina
Lugha ya Kichagga/FITINA
Koo za Kichagga/FITINA
Utawala wa jadi wa Wachagga/FITINA
Elimu kati ya Wachagga/FITINA
Ardhi/FITINA
Kilimo na chakula/FITINA
Maoni juu ya Wachagga/FITINA
Tanbihi/FITINA
Marejeo/FITINA
Viungo vya nje/FITINA
mwisho imehaririwa miezi 5 iliyopita na Riccardo Riccioni
![]()
- Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo.
- Sera ya faragha
- Masharti ya matumizi
- Dawati
Waliondoka kwa hoja zipi?Aliondoka zzk,Dr W Slaa, bado chadema iko moto.. hakuna mkubwa kuliko chama
Ondoka kama uko chadema kwa ajili ya mtuWaliondoka kwa hoja zipi?
Tanzania wote ni wajinga hata wewe kama hujuiWatu wajinga wabaki CCM.