Emmanuel Chimbi, ndoto iliyoiharibu ndoto yake yenyewe.

Emmanuel Chimbi, ndoto iliyoiharibu ndoto yake yenyewe.

Alieharibu ndoto za Nchimbi ni Samia...
Nchimbi kwenye kambi ya Lowasa alikuwa "mamluki" Tu aliewaingiza mkenge kina Sophia na JerrySlaa walio potezwa na mfumo..
Sophia Simba Hadi akafukuzwa...
Mzee Kingunge akapoteza heshima..
Nchimbi akapewa zawadi ya ubalozi ..akaahidiwa makubwa huko baadae..
Ghafla Magufuli akafa...Samia Hana faili la Nchimbi wala hajui makubaliano ya Magufuli na Nchimbi..
Na umri unaenda...kizazi kipya kinakuja cha kina Mavunde na January...
It's over...he is done
 
Dr. Nchimbi ni kati ya gurus wa siasa nchini. Anaijua siasa na nafikiri anafanya recuperation kabla ya kuingia rasmi kwenye siasa za majukwaani za nchi hii ukijumlisha na yeye kuwa mtu wa system , he has to bide his time.
 
Yaani nchimbi awe Rais wa Tz???!

Elimu yake yenyewe ya kughushi

Hebu tutolee bangi zako hapa.
Bora umuambie weee, anajifanya mjuaji sanaa huyo, na anachekeshaa kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dr. Nchimbi ni kati ya gurus wa siasa nchini. Anaijua siasa na nafikiri anafanya recuperation kabla ya kuingia rasmi kwenye siasa za majukwaani za nchi hii ukijumlisha na yeye kuwa mtu wa system , he has to bide his time.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha wee, km Lowassa kashindwa kuwa Rais, ndo awe huyo Mmatengo??

Makubwaaaa haya tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu watakujaza kweli na wewe utajaa. Watasema ndugu yani wakikuzingua tuko nyuma yako. Yani kwa nguvu aliyokuwa nayo Lowasa sikuamini kama Magufuli angemzima vile hadi akaenda piga naye picha ikulu.
Mtu ambaye mimi huwa ananishangaza ni sumaye, sijui nia kwanini huwa anawaza kuwa ana influence kubwa tz hadi kutaka kugombea uraisi. Sumaye baada ya kuondoka kwemye uwaziri mkuu watu walishamsahau hata sasa baada ya mshikemshike wa awamu ya tano akarudi ccm hakuna anayemkumbuka.
Sumaye hata kipindi akiwa Waziri mkuu hakuwa na ushawishi wowote.

Kuna ile mtu anawaza ngoja nijaribu naweza kubahatika.

Na pia watu wa karibu( wapambe) kukupa kichwa.
 
Unamjua Dr. Nchimbi au unaropoka tu? Halafu toka lini shoga km wewe ukawa na moral authority ya kujua kiongozi bora wa nchi?
Brother tuendelee na hoja iliyo mezani, personal ya mtu haimzuwii kuchangia hoja na au kutoa maoni .

Binafsi nilikua na mkubali sana Emmanueli nchimbi, ila ninaamini bado yupo kwenye raman za siasa za bongo, kwa sababu pamoja na yaliyo tokea hakusombwa na mafuriko kuhamia nyumba ya jirani, alibaki zizini.
Kwa hiyo hakuchafuka moja kwa moja.
 
Sasa Emmanuel Nchimbi naye alikua ana ndoto ya kuja kuwa Rais?? Kumbe Urais ni rahisi hivyoo??

Sitaki kuamini hata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo saa 10 jioni, Yanga anacheza mechi ya nusu fainali ya ASFC dhidi ya SBS. Vipi, uko tayari nikupitie baadaye ili tukaangalie geto?
 
Leo saa 10 jioni, Yanga anacheza mechi ya nusu fainali ya ASFC dhidi ya SBS. Vipi, uko tayari nikupitie ili tukaangalie geto?
Nipitiee jaman, hebu nambie nikusubiri wapiii??
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi umetukimbia kule kwenye jukwaa la michezo. Kumbe uko huku!! [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa jamani huko nitakua kuna jipya gani? Team angu enyewe ndo hivyo chaliiiiii.
Tunajipanga na msimu ujao, nasubiri After final ya CAFCC naweza kurejea huko. Kwa sasa napumua huku kwan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Emmanuel Nchimbi naye alikua ana ndoto ya kuja kuwa Rais?? Kumbe Urais ni rahisi hivyoo??

Sitaki kuamini hata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuendelee na masuala ya kutinduliwa, siasa za nchi hii huzijui. Nape yalimfika ya kumfika kwa vile alijitokeza kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM kumpinga Emma. JK akamrarua vipande. Emma alikuwa amehaidiwa kuwa Rais pindi Lowassa akimaliza ngwe yake. JK -Lowassa - Nchimbi. Hapo upo? By the way, leo nani anaku.....
 
Brother tuendelee na hoja iliyo mezani, personal ya mtu haimzuwii kuchangia hoja na au kutoa maoni .

Binafsi nilikua na mkubali sana Emmanueli nchimbi, ila ninaamini bado yupo kwenye raman za siasa za bongo, kwa sababu pamoja na yaliyo tokea hakusombwa na mafuriko kuhamia nyumba ya jirani, alibaki zizini.
Kwa hiyo hakuchafuka moja kwa moja.
Bouncing back yake kuna watu hawataamini!
 
Back
Top Bottom