Emmanuel Chimbi, ndoto iliyoiharibu ndoto yake yenyewe.

Tuendelee na masuala ya kutinduliwa, siasa za nchi hii huzijui. Nape yalimfika ya kumfika kwa vile alijitokeza kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM kumpinga Emma. JK akamrarua vipande. Emma alikuwa amehaidiwa kuwa Rais pindi Lowassa akimaliza ngwe yake. JK -Lowassa - Nchimbi. Hapo upo? By the way, leo nani anaku.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi futuhi zako hazina mashiko. Cha ajabu sasa hao Lowassa na Nchimbi hawajawa marais na hawatakuja kuwa kamwee.

By the way leo nipo na mume wangu wa ndoa, vipi unatakajee? Uje nawee tupigwe mande wotee??
 
Tuendelee na masuala ya kutinduliwa, siasa za nchi hii huzijui. Nape yalimfika ya kumfika kwa vile alijitokeza kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM kumpinga Emma. JK akamrarua vipande. Emma alikuwa amehaidiwa kuwa Rais pindi Lowassa akimaliza ngwe yake. JK -Lowassa - Nchimbi. Hapo upo? By the way, leo nani anaku.....
Hii ni sahihi tulikuwepo ukumbini wakati wa kumpigia kura Mh.Nchimbi
 
Tatizo la watanzania wengi ni kuogopa uwanja sawa wa ushindani, kwakua mediocre ndiyo walitanguliwa kubebwa na mfumo huu wa teuzi badala ya meritocracy, as we move kwenye democracy kwa kweli haya mambo yataisha, ngoja tukazane na Katiba mpya utaona jinsi wengi wataondolewa na mfumo utakaokuwepo na jinsi tutakavyopiga tambo za haraka...Tanzania njema ni lazima apende au asipende mtu, just wait and see the show, I decree and declare for the 100 time!

Shoka limewekwa mtini na lipo tayari kukata ili tupate kuharibu na kuteketeza, tujenge upya...
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hizi futuhi zako hazina mashiko. Cha ajabu sasa hao Lowassa na Nchimbi hawajawa marais na hawatakuja kuwa kamwee.

By the way leo nipo na mume wangu wa ndoa, vipi unatakajee? Uje nawee tupigwe mande wotee??
Kivipi? Niwachape wewe na mumeo?
Hii ni sahihi tulikuwepo ukumbini wakati wa kumpigia kura Mh.Nchimbi
Nape wakati huo aliyemsaidia kumpa gari la kuzunguka kupiga kampeni ni baba ya LE mutuz, unakumbuka? Ingawa juzi hakwenda kuzika! Hivi unakumbuka Nape alivyoshikiliwa kingowira ili asiharibu kura za emma?
 
Kama lipo kosa analojilaumu Emma basi ni la yeye kuanzisha uasi kwa kile kilichotangazwa na na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wakati huo ndugu Jakaya .M. Kikwete kuhusu kukatwa kwa jina la bwana E. N. LOWASA kwenye kinyang'anyiro cha kuteuliwa kuwa mgombea wa u Rais kupitia CCM.

Kwa kawaida alichokifanya Nchimbi ki demokrasia hakukuwa na ubaya wowote lakini lijapo upande wa pili ni kosa kubwa la kudharau mamlaka iliyo juu yako na adhabu yake ni KUTOKUAMINIKA TENA na hilo ndilo limemuondelea sifa kuu ya yeye kuja kuwa kiongozi mkubwa ndani ya Taifa hili. Jambo hilo hata yeye mwenyewe alipo analitambua na huenda anaendelea kujutia hakika!

Kwa Nchi kama yetu hii ukiona unatupwa Ubalozini huku nyuma ulipata kuleta ukakasi kwenye jambo/mambo fulani kama alivyofanya Nchimbi tambua ndiwo mwisho wako wa kuwa mwana siasa utamaniye kuwa mkubwa hapo baadae.

Sielewi ni sababu ipi ilimfanya Nchimbi ajitokeze hadharani na kufanya kile alichokifanya ilhali wazi utaratibu wa namna ya kushugulikiwa kwa mtu wa aina ile aliyoichagua kufanya aliielewa vizuri!

Kwa nini hakujizuia kwanza?!

Kwa nini alijilipua kwa kiwango cha juu namna ile?!

Ilistaajabisha!

Masikini wa Mungu baada ya tukio lile wakubwa wakamwandika kwenye lile daftari liandikwalo kwa kalamu yenye wino mwekundu.

Mods, naomba mnisaidie isomeke NCHIMBI na siyo Chimbi.
Ujinga ni kipaji huko ccm.
Kwahiyo ukishindana na kiongoz wako hta upo sahahi unaonekana msaliti. Haya ndio madhara ya sekondari za kata. Kama kizazi hiki kingekuwepo wakati wa ukoloni mpka Leo tungekuwa bado tunatawalaiwa na wajerumani.
Nonsense in Smaia voice
 
Sasa matusi hapo yanakuja vipi
Afya ya akili hiyo
Watu hawajajijua wallah
Nani katukanwa? Km unamaanisha cocastic anayejitangaza shoga katukanwa kuitwa shoga basi wew ndio huna akili na ukimbilie dawa za kupunguza paniki, hasira na msongo haraka sana. Hakuna tusi kumuita shoga mtu aliyejitangaza kuwa yeye ni shoga. Labda umlaumu yeye anayeona ufahali kujitangaza huo ufilauni
 
Alieharibu ndoto za Nchimbi ni Samia...
Nchimbi kwenye kambi ya Lowasa alikuwa "mamluki" Tu aliewaingiza mkenge kina Sophia na JerrySlaa walio potezwa na mfumo..
Sophia Simba Hadi akafukuzwa...
Mzee Kingunge akapoteza heshima..
Nchimbi akapewa zawadi ya ubalozi ..akaahidiwa makubwa huko baadae..
Ghafla Magufuli akafa...Samia Hana faili la Nchimbi wala hajui makubaliano ya Magufuli na Nchimbi..
Na umri unaenda...kizazi kipya kinakuja cha kina Mavunde na January...
It's over...he is done
🤣🤣
 
Kama lipo kosa analojilaumu Emma basi ni la yeye kuanzisha uasi kwa kile kilichotangazwa na na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wakati huo ndugu Jakaya .M. Kikwete kuhusu kukatwa kwa jina la bwana E. N. LOWASA kwenye kinyang'anyiro cha kuteuliwa kuwa mgombea wa u Rais kupitia CCM.

Kwa kawaida alichokifanya Nchimbi ki demokrasia hakukuwa na ubaya wowote lakini lijapo upande wa pili ni kosa kubwa la kudharau mamlaka iliyo juu yako na adhabu yake ni KUTOKUAMINIKA TENA na hilo ndilo limemuondelea sifa kuu ya yeye kuja kuwa kiongozi mkubwa ndani ya Taifa hili. Jambo hilo hata yeye mwenyewe alipo analitambua na huenda anaendelea kujutia hakika!

Kwa Nchi kama yetu hii ukiona unatupwa Ubalozini huku nyuma ulipata kuleta ukakasi kwenye jambo/mambo fulani kama alivyofanya Nchimbi tambua ndiwo mwisho wako wa kuwa mwana siasa utamaniye kuwa mkubwa hapo baadae.

Sielewi ni sababu ipi ilimfanya Nchimbi ajitokeze hadharani na kufanya kile alichokifanya ilhali wazi utaratibu wa namna ya kushugulikiwa kwa mtu wa aina ile aliyoichagua kufanya aliielewa vizuri!

Kwa nini hakujizuia kwanza?!

Kwa nini alijilipua kwa kiwango cha juu namna ile?!

Ilistaajabisha!

Masikini wa Mungu baada ya tukio lile wakubwa wakamwandika kwenye lile daftari liandikwalo kwa kalamu yenye wino mwekundu.

Mods, naomba mnisaidie isomeke NCHIMBI na siyo Chimbi.
Thread zingine bhana.
Ukisikia mtu kaanzisha Thread ya kipumbavu ndio hii sasa
 
Back
Top Bottom