Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komenti yako nimecheka sana, jamaa tumuombee kwa mungu , so sad this story, mwanaume unampaje mke umiliki wa mali zote , upoyoyo huo, eti kila kitu unachonunua unaandika jina la mke, inaonekana alikufa kwa mkewe kabisa jamaaKivipi...! Kwa nini...![emoji15] [emoji15]
Eboe alikuwa ni zuzu wa kutupwa...!Komenti yako nimecheka sana, jamaa tumuombee kwa mungu , so sad this story, mwanaume unampaje mke umiliki wa mali zote , upoyoyo huo, eti kila kitu unachonunua unaandika jina la mke, inaonekana alikufa kwa mkewe kabisa jamaa
Sanahayo ndio matatizo ya masikini akipata, anajisahau... sidhani kama kuachana na mkewe ndio kumechangia hayo yote, kuna jambo nyuma ya pazia amabalo lilipelekea ufujaji wa pesa aidha kwa starehe, kamari na michepuko..... moja ya watu wanaowindwa sana na wale madada poa high class ni footballers, yes wanajua kama ni cash ipo,,, na ukizingatia waafrika tunapenda sana ile kitu....
rejea mifano kadhaa ya african players ambao walishawahi kuingia kwenye hii crisis... eric djemba djemba, kina alhaji dioph na wengineo.....
Source??Jamaa anaumwa ukimwi
Hajafilisika bwana sema ana stress sana
Mbona inajulikana jamaa alifeli vipimo sababu alikutwa na virusi ila wakaficha kuwa sio virusi vya ukimwi ila kuna virusi tu, ukweli haufichikiSource??
Hakumpa umiliki wa mali zote mahakama ndio iliyompa haki ya kumiliki mali zote baada ya talaka. Kabla ya hapo chochote alichokivuna kilikuwa chao woteKomenti yako nimecheka sana, jamaa tumuombee kwa mungu , so sad this story, mwanaume unampaje mke umiliki wa mali zote , upoyoyo huo, eti kila kitu unachonunua unaandika jina la mke, inaonekana alikufa kwa mkewe kabisa jamaa
Alikuaga arsenal, baada ya hapo galatasaray.. baada ya hapo sjui alipotelea wapWeka picha yake..
mbu.nye haijawahi kumwacha mtu salama.
Anatokea nchi gani na alichezea timu ipi
hili jambo liliibuliwa uturuki mwishoni mwa mwezi september ni kweli na ilitakiwa afanyiwe vipimo zaidi uingereza ili kuthibitisha hiv status yake ingawa aliishachanganyikiwa kitambo kutokana na suala la madai ya talaka pamoja na afya yake.Mbona inajulikana jamaa alifeli vipimo sababu alikutwa na virusi ila wakaficha kuwa sio virusi vya ukimwi ila kuna virusi tu, ukweli haufichiki
Saizi wanasema hachezi sababu yupo ill lakini hana majeruhi yeyote ile
Ingia Net tafuta utapata sources kibao
Komenti yako nimecheka sana, jamaa tumuombee kwa mungu , so sad this story, mwanaume unampaje mke umiliki wa mali zote , upoyoyo huo, eti kila kitu unachonunua unaandika jina la mke, inaonekana alikufa kwa mkewe kabisa jamaa
Jamaa anaumwa ukimwi
Hajafilisika bwana sema ana stress sana
Huu ndio usenge wa kumwambia mwanamke kila siri yako na kuacha kuwekeza home maana ni ngumu MTU kuja kukuonea home. Anatamani kurudi home ila aibu imemkuta.
Kuoa mzungu sio tatizo ila angewekeza zaidi home na sehemu zingine na kidogo hapo UK na ikibidi mke asingejua lolote au angejua nusu.
😉🙂😡 mkuu tuhuma hizi ni nzito sana.