Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

Kivipi...! Kwa nini...![emoji15] [emoji15]
Komenti yako nimecheka sana, jamaa tumuombee kwa mungu , so sad this story, mwanaume unampaje mke umiliki wa mali zote , upoyoyo huo, eti kila kitu unachonunua unaandika jina la mke, inaonekana alikufa kwa mkewe kabisa jamaa
 
Eboe alikuwa ni zuzu wa kutupwa...!
Ni kama Mmakonde ampate mwanamke wa Kizungu, ni bora hata Mmasai wao wamewazoe...!

Kumbuka huyu Eboe mzee Wenger alikuwa anajitapa kila siku kwa jinsi alivyo mnasa kwa bei karibu na bure.

Alimsajili kwa kitu kama Pauni laki tatu (wakati wenzie wananunuliwa kwa mamilioni)
Ni kama alijitolea kwenda kucheza Soka Ulaya mradi tu ashangae Maghorofa...!

Anaomba Chama cha wanasoka Mapro kimsaidie kumtafutia kibarua hata cha bei poa, kimsaidie kama vipi kumuwekea hata Wanasheria, anadai hivi sasa amekuwa mtu wa kujifungia ndani na asijue nini cha kufanya, anadai hivi sasa hata watoto wake watatu hawana muda tena wa kumpigia Simu na kumjulia hali, anadai pia hakuwahi kuwa na washauri wazuri katika kipindi chake cha mafanikio...!!

Bwege kabisa huyu Eboe.
Hivi tunasemaga sisi Wabongo tunapenda kutumbua Raha.
Kuna mtu wa kumfikia huyu Muivory Cost kweli...!

Tulimsakama Iddriss (BBA) kwa kutafuna visenti vyake kwa PUPA na kusahau kujiwekea walau vitega uchumi, utasema nini sasa kwa mtu kama Eboe ambaye tayari akaunti yake ilisoma mamilioni ya Pauni..!?

So shame...amewaangusha sana wana Arsenal.
 
Sana
 
kafilisika kwa ajili yakuchezea pesa sio kuachana na mkwe sio kweli mke anapata pesa ndio sio zote sana kapata 50 kwa 50 vinginevyo ni mwenyewe
 
Mbona inajulikana jamaa alifeli vipimo sababu alikutwa na virusi ila wakaficha kuwa sio virusi vya ukimwi ila kuna virusi tu, ukweli haufichiki

Saizi wanasema hachezi sababu yupo ill lakini hana majeruhi yeyote ile

Ingia Net tafuta utapata sources kibao
 
Komenti yako nimecheka sana, jamaa tumuombee kwa mungu , so sad this story, mwanaume unampaje mke umiliki wa mali zote , upoyoyo huo, eti kila kitu unachonunua unaandika jina la mke, inaonekana alikufa kwa mkewe kabisa jamaa
Hakumpa umiliki wa mali zote mahakama ndio iliyompa haki ya kumiliki mali zote baada ya talaka. Kabla ya hapo chochote alichokivuna kilikuwa chao wote
 
Weka picha yake..

mbu.nye haijawahi kumwacha mtu salama.

Anatokea nchi gani na alichezea timu ipi
Alikuaga arsenal, baada ya hapo galatasaray.. baada ya hapo sjui alipotelea wap
 
hili jambo liliibuliwa uturuki mwishoni mwa mwezi september ni kweli na ilitakiwa afanyiwe vipimo zaidi uingereza ili kuthibitisha hiv status yake ingawa aliishachanganyikiwa kitambo kutokana na suala la madai ya talaka pamoja na afya yake.
 
Komenti yako nimecheka sana, jamaa tumuombee kwa mungu , so sad this story, mwanaume unampaje mke umiliki wa mali zote , upoyoyo huo, eti kila kitu unachonunua unaandika jina la mke, inaonekana alikufa kwa mkewe kabisa jamaa

Hata Ulaya kuna Limbwata
 
Ushawahi kupenda wewe [emoji23]? Kamuulize Samson kilichomkuta kwa Delila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…