Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

ebue duu hivi ulishindwa kwenda kupata ushauri kwa yahaya,didie,boke,kalou,hakuna ajuaye kesho
 
Ufala wa kushobokea kuoa wazungu umeanza kujionesha.
 
Wachezaji wengi waliofanikiwa huko ulaya ambao wanatokea africa huoa wafrica wenzao wakutoka nchini mwao kima kanu, okocha, eto nk walioa wanawake wa nchini mwao wakijua hata ikitokea mzozo hawezi kukuacha mikono mitupu kama huyu eboue
 
Kutumia public transport sio umaskini nchi za Ulaya hata mawaziri wanapanda subway, basi au wanaenda kazini kwa bike, ni bongo tu ndo umaskini.
 
mbona inaonesha kafungiwa kucheza mpira kwa mzozo na wakala wake!?
 
Si wazungu, wanawake wote hawana huruma na mwanaume yeyote labda awe mtoto wake.Ni vizuri kuishi kwa tahadhari sana na hawa wanawake
Umeandika nilichokua nakifikilia

Hata maandiko matakatifu yameandika tuishi nao kwaakili. no way
 
Wazungu wakike wanahila sana.Hawawapendi waafrika huwa wanaangalia wanakitu gani ndio waolewe nao,sio watu lakini sisi ndio tunamatatizo zaidi,kwa nini hakuoa mmatumbi mwenzake?
 
Huyo hakua Gentleman...alikua mhafidhina wa ndoa,Gentleman mwanamke kwake si kila kitu
 
Ndio uhalisia nakumbuka sijui miezi mingapi imepita ndio ilikuwa habari ya mjini ,alitaka kusajiliwa na klabu yake mpya ila alifeli vipimo sababu ya ugonjwa huo

Na stress akawa anajifungia ndani sana na alijaribu kujiua
Acha uongo eboue alifungiwa kucheza mpira baada ya kusajiliwa na Sunderland mwaka 2016,March.


Inasemekana alimtapeli agent wake... Alifungiwa na Fifa kutokucheza mpira kwa miaka kadhaa na mpaka sasa hana team... Alipewa long term Ban.



Muwe mnafuatilia habari acheni uongo na habari za kwenye kahawa.


Ingia hapa Eboue: Year-long ban like being in prison
 







Mkuu inabidi wewe uwe unafuatilia mambo sababu haupo updated
 
Unapooa gold-digging white girl, anything is possible.
 
Komenti yako nimecheka sana, jamaa tumuombee kwa mungu , so sad this story, mwanaume unampaje mke umiliki wa mali zote , upoyoyo huo, eti kila kitu unachonunua unaandika jina la mke, inaonekana alikufa kwa mkewe kabisa jamaa
Halafu mbona demu lenyewe baaayaaa[emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…