Emmanuel Macron Raisi wa sasa wa Ufaransa ana Umri wa miaka 48, Mke wake Brigitte ana miaka 73, yaani Macron kazidiwa miaka 25.

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951
Emmanuel Macron raisi wa sasa wa Ufaransa ana umri wa miaka 48, mke wake Brigitte ana miaka 73, yaani Macron kazidiwa miaka 25.
Huyu mke wake ana watoto wawili, yani Sebastien mwenye miaka 50, na Laurence mwenye miaka 49.
Mtoto wa kwanza wa Brigitte ni Sebastian ambaye alikuwa classmate wa Emmanuel Macron, na Macron alikuwa mwanafunzi wa Brigitte.
Huyu Brigitte alikuwa mwalimu katika shule ambayo Macron alisoma, na walifunga ndoa mwaka 2007.
Katika familia ya Brigitte huyu Emmanuel Macron yeye ndie last born.

1791610030013.png
 
Mh ingekuwa africa tungesema kalogwa, kwaiyo vp yeye macron vp yupo na watoto kweli,yan huyo ni mama yake mzazi kabisa
 
Mbali na umri....huyo mama ni singo maza tena ile konkodi.

Afu kuna kijana uku hataki singo maza.....kumbe tatizo ni umaskini wake tu
Ukifuatilia historia yake, hakuwa single mother. Alikuwa na mume wake wa ndoa aliyezaa naye watoto watatu (wa kwanza na pili wa kiume walizaliwa 1975, na 1977! Wa tatu ni wa kike alizaliwa 1984)

Huku Emmanuel Macron akizaliwa 1977! Baada ya kuanzisha hisia za kupendana baina yao (mwanaume akiwa ni mwanafunzi na mwanamke akiwa ni mwalimu) baadaye mwanamke aliachana na mume wake, na kuona na hako kajamaa kake.

Kwa hiyo Macron ana watoto wa kufikia tu huku mmoja akimzidi umri, mwingine akilingana naye, na mwingine wakitofautiana miaka michache. Yeye kama yeye hana hata mtoto wa kusingiziwa
 
Emmanuel Macron raisi wa sasa wa Ufaransa ana umri wa miaka 48, mke wake Brigitte ana miaka 73, yaani Macron kazidiwa miaka 25.
Huyu mke wake ana watoto wawili, yani Sebastien mwenye miaka 50, na Laurence mwenye miaka 49.
Mtoto wa kwanza wa Brigitte ni Sebastian ambaye alikuwa classmate wa Emmanuel Macron, na Macron alikuwa mwanafunzi wa Brigitte.
Huyu Brigitte alikuwa mwalimu katika shule ambayo Macron alisoma, na walifunga ndoa mwaka 2007.
Katika familia ya Brigitte huyu Emmanuel Macron yeye ndie last born.

View attachment 3687791
vipi Marekani na hapo Cameroon, hali ipoje kwa mfano?🐒
 
SIasa hasa za nje zina mambo mengi sanaa na vituko vyake pia... huenda Raisi Sio Rais bali huyo mama ndie anatambulika na Mfumo. Kuna Series inaitwa The Oval mule kuna mambo mengi mno.
 
Emmanuel Macron raisi wa sasa wa Ufaransa ana umri wa miaka 48, mke wake Brigitte ana miaka 73, yaani Macron kazidiwa miaka 25.
Huyu mke wake ana watoto wawili, yani Sebastien mwenye miaka 50, na Laurence mwenye miaka 49.
Mtoto wa kwanza wa Brigitte ni Sebastian ambaye alikuwa classmate wa Emmanuel Macron, na Macron alikuwa mwanafunzi wa Brigitte.
Huyu Brigitte alikuwa mwalimu katika shule ambayo Macron alisoma, na walifunga ndoa mwaka 2007.
Katika familia ya Brigitte huyu Emmanuel Macron yeye ndie last born.

View attachment 3687791
Unataka kusema nini Mzee wa tiba?
 
Kuta mke wa CEO wa Dell , aisee kuna kitu hapo sio bure...
 
Ukifuatilia historia yake, hakuwa single mother. Alikuwa na mume wake wa ndoa aliyezaa naye watoto watatu (wa kwanza na pili wa kiume walizaliwa 1975, na 1977! Wa tatu ni wa kike alizaliwa 1984)

Huku Emmanuel Macron akizaliwa 1977! Baada ya kuanzisha hisia za kupendana baina yao (mwanaume akiwa ni mwanafunzi na mwanamke akiwa ni mwalimu) baadaye mwanamke aliachana na mume wake, na kuona na hako kajamaa kake.

Kwa hiyo Macron ana watoto wa kufikia tu huku mmoja akimzidi umri, mwingine akilingana naye, na mwingine wakitofautiana miaka michache. Yeye kama yeye hana hata mtoto wa kusingiziwa
Ndo usingo maza huo mkuu......sema umetofautiana level tu

Sema apo kuna siri nyingi sanaa sio bure kazee kama ako
 
Jamaa kunasehemu hayuko sawa angekuwa yupo na mtoto hata mmoja,alafu ndo angekuwa nahuyo bibi ila mwenzake yupo na watoto yeye hakuna kitu
dhana ya mtoto kuna jamii, wala sio suala kabisa. Yani kukuta mtu anasema hataki watoto basi hata wanaomzunguka hawashangai yani sio kipaumbele kihivyo kama tunavyochukulia huku 3rd world
 
Emmanuel Macron raisi wa sasa wa Ufaransa ana umri wa miaka 48, mke wake Brigitte ana miaka 73, yaani Macron kazidiwa miaka 25.
Huyu mke wake ana watoto wawili, yani Sebastien mwenye miaka 50, na Laurence mwenye miaka 49.
Mtoto wa kwanza wa Brigitte ni Sebastian ambaye alikuwa classmate wa Emmanuel Macron, na Macron alikuwa mwanafunzi wa Brigitte.
Huyu Brigitte alikuwa mwalimu katika shule ambayo Macron alisoma, na walifunga ndoa mwaka 2007.
Katika familia ya Brigitte huyu Emmanuel Macron yeye ndie last born.

View attachment 3687791
anaishi nakizombi ndani.ona kimdomochake kama simbilisi
 
Back
Top Bottom