aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
Rais wa hovyo sana😁😁Ukifuatilia historia yake, hakuwa single mother. Alikuwa na mume wake wa ndoa aliyezaa naye watoto watatu (wa kwanza na pili wa kiume walizaliwa 1975, na 1977! Wa tatu ni wa kike alizaliwa 1984)
Huku Emmanuel Macron akizaliwa 1977! Baada ya kuanzisha hisia za kupendana baina yao (mwanaume akiwa ni mwanafunzi na mwanamke akiwa ni mwalimu) baadaye mwanamke aliachana na mume wake, na kuona na hako kajamaa kake.
Kwa hiyo Macron ana watoto wa kufikia tu huku mmoja akimzidi umri, mwingine akilingana naye, na mwingine wakitofautiana miaka michache. Yeye kama yeye hana hata mtoto wa kusingiziwa
eti hata wakusingiziwa hana