Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Usiseme ni mama yake, ni umri unaotosha kuwa sawa na mama yake.Mh ingekuwa africa tungesema kalogwa, kwaiyo vp yeye macron vp yupo na watoto kweli,yan huyo ni mama yake mzazi kabisa
Ukifuatilia historia yake, hakuwa single mother. Alikuwa na mume wake wa ndoa aliyezaa naye watoto watatu (wa kwanza na pili wa kiume walizaliwa 1975, na 1977! Wa tatu ni wa kike alizaliwa 1984)Mbali na umri....huyo mama ni singo maza tena ile konkodi.
Afu kuna kijana uku hataki singo maza.....kumbe tatizo ni umaskini wake tu
Wanaowakataa single mother ni masikini?Mbali na umri....huyo mama ni singo maza tena ile konkodi.
Afu kuna kijana uku hataki singo maza.....kumbe tatizo ni umaskini wake tu
vipi Marekani na hapo Cameroon, hali ipoje kwa mfano?🐒Emmanuel Macron raisi wa sasa wa Ufaransa ana umri wa miaka 48, mke wake Brigitte ana miaka 73, yaani Macron kazidiwa miaka 25.
Huyu mke wake ana watoto wawili, yani Sebastien mwenye miaka 50, na Laurence mwenye miaka 49.
Mtoto wa kwanza wa Brigitte ni Sebastian ambaye alikuwa classmate wa Emmanuel Macron, na Macron alikuwa mwanafunzi wa Brigitte.
Huyu Brigitte alikuwa mwalimu katika shule ambayo Macron alisoma, na walifunga ndoa mwaka 2007.
Katika familia ya Brigitte huyu Emmanuel Macron yeye ndie last born.
View attachment 3687791
Kati yao mmoja au wote ni masikini.....Wanaowakataa single mother ni masikini?
Unataka kusema nini Mzee wa tiba?Emmanuel Macron raisi wa sasa wa Ufaransa ana umri wa miaka 48, mke wake Brigitte ana miaka 73, yaani Macron kazidiwa miaka 25.
Huyu mke wake ana watoto wawili, yani Sebastien mwenye miaka 50, na Laurence mwenye miaka 49.
Mtoto wa kwanza wa Brigitte ni Sebastian ambaye alikuwa classmate wa Emmanuel Macron, na Macron alikuwa mwanafunzi wa Brigitte.
Huyu Brigitte alikuwa mwalimu katika shule ambayo Macron alisoma, na walifunga ndoa mwaka 2007.
Katika familia ya Brigitte huyu Emmanuel Macron yeye ndie last born.
View attachment 3687791
Ndo usingo maza huo mkuu......sema umetofautiana level tuUkifuatilia historia yake, hakuwa single mother. Alikuwa na mume wake wa ndoa aliyezaa naye watoto watatu (wa kwanza na pili wa kiume walizaliwa 1975, na 1977! Wa tatu ni wa kike alizaliwa 1984)
Huku Emmanuel Macron akizaliwa 1977! Baada ya kuanzisha hisia za kupendana baina yao (mwanaume akiwa ni mwanafunzi na mwanamke akiwa ni mwalimu) baadaye mwanamke aliachana na mume wake, na kuona na hako kajamaa kake.
Kwa hiyo Macron ana watoto wa kufikia tu huku mmoja akimzidi umri, mwingine akilingana naye, na mwingine wakitofautiana miaka michache. Yeye kama yeye hana hata mtoto wa kusingiziwa
Ulaya hamna muda wa kujificha hayo mambo yamebaki africaWanasema macron ndo wale wale Kwa hyo kajificha Kwa bibi.vijana wenzie hawawezi
Si ndo maan kajifich Kwa bibi.Ulaya hamna muda wa kujificha hayo mambo yamebaki africa
dhana ya mtoto kuna jamii, wala sio suala kabisa. Yani kukuta mtu anasema hataki watoto basi hata wanaomzunguka hawashangai yani sio kipaumbele kihivyo kama tunavyochukulia huku 3rd worldJamaa kunasehemu hayuko sawa angekuwa yupo na mtoto hata mmoja,alafu ndo angekuwa nahuyo bibi ila mwenzake yupo na watoto yeye hakuna kitu
anaishi nakizombi ndani.ona kimdomochake kama simbilisiEmmanuel Macron raisi wa sasa wa Ufaransa ana umri wa miaka 48, mke wake Brigitte ana miaka 73, yaani Macron kazidiwa miaka 25.