aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
Rais wa hovyo sanaππUkifuatilia historia yake, hakuwa single mother. Alikuwa na mume wake wa ndoa aliyezaa naye watoto watatu (wa kwanza na pili wa kiume walizaliwa 1975, na 1977! Wa tatu ni wa kike alizaliwa 1984)
Huku Emmanuel Macron akizaliwa 1977! Baada ya kuanzisha hisia za kupendana baina yao (mwanaume akiwa ni mwanafunzi na mwanamke akiwa ni mwalimu) baadaye mwanamke aliachana na mume wake, na kuona na hako kajamaa kake.
Kwa hiyo Macron ana watoto wa kufikia tu huku mmoja akimzidi umri, mwingine akilingana naye, na mwingine wakitofautiana miaka michache. Yeye kama yeye hana hata mtoto wa kusingiziwa
Hao watoto wa kambo wa rais wamepishana mwaka mmoja tu, lakini bongo ukizaa kwa kupishanisha sana umri unaambiwa unajidai mzungu.Mh ingekuwa africa tungesema kalogwa, kwaiyo vp yeye macron vp yupo na watoto kweli,yan huyo ni mama yake mzazi kabisa
Itakuwa bibi ana siri za mheshimiwa rais, sasa kibibi kile kinamkolomeaje junk kama macronIla nimtata huyo. Rais hapindui pale.
Itakuwa hivyo sio bure.Itakuwa bibi ana siri za mheshimiwa rais, sasa kibibi kile kinamkolomeaje junk kama macron
kati kama kati sio!! Tisha sana
πππ€£π πππ¨Mbali na umri....huyo mama ni singo maza tena ile konkodi.
Afu kuna kijana uku hataki singo maza.....kumbe tatizo ni umaskini wake tu