Duh! Gwajima mwingine huyu hapa.Tokea nazaliwa sijawahi kuona mtu mpumbavu kama huyu kaka. Kama ni kwely umetweet hivi na sio ufekelo Wa watu. Mr problem solved anahitaji watu kama wewe mbasha muambatane nae hawapeleke milembe. Ovyo zako mbasha. Ovyo Mara elfu nane huna akili we mpk akili zako hazina akili. One of the stupid people have ever seen in my life. Ur among them. Foolish en very foolish. Shwain to you Emmanuel mbasha.
Moja ya watoto wa mjini waliozidiwa na mji... Pole Mr mbasha
siku hizi kweli utandawazi, mkitemana ni kwenye mitandao... kuna mwingine nae tena jina kubwa, alimuanika mwenzie kwenye ma instagram as if yeye ni malaika pyuuu..!! mnachefua kwa kweli...
Mbona kama photoshop flani au ni true account yake .
mtahadhari sasa wanaJF hii sheria inakuja msijevishwa ngwanda za rangi ya chungwaNi photoshop kaka, akaunti ya Mbasha haijaguswa kitambo sana!! Tangu February, labda kama ana akaunti ingine
Moja ya watoto wa mjini waliozidiwa na mji... Pole Mr mbasha
Mtoto wa mjini hawezi kuwa mbasha??? Labda Gwajima.
Gwajima naye siyo wa mjini man
Mtoto wa mjini hawezi kuwa mbasha??? Labda Gwajima.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama hasimami wima,sasa yeye kavuliwa nguo ana simama nakurukaruka,angenyamaza kimnya haikua na sababu yakusema chochote,atamrudia mkewe sawa asimrudie mkewe hiyari yake sio muhimu kwa yoyote zaidi yake yeye,kwani yeye wa kwanza Kusalitiwa au kugombana na mke...My take: Jamaa anaonyesha ni muungwana sana.