Emmanuel Mbasha Afunguka sakata la Gwajima katika Twitter

Emmanuel Mbasha Afunguka sakata la Gwajima katika Twitter

Tokea nazaliwa sijawahi kuona mtu mpumbavu kama huyu kaka. Kama ni kwely umetweet hivi na sio ufekelo Wa watu. Mr problem solved anahitaji watu kama wewe mbasha muambatane nae hawapeleke milembe. Ovyo zako mbasha. Ovyo Mara elfu nane huna akili we mpk akili zako hazina akili. One of the stupid people have ever seen in my life. Ur among them. Foolish en very foolish. Shwain to you Emmanuel mbasha.
Duh! Gwajima mwingine huyu hapa.
 
siku hizi kweli utandawazi, mkitemana ni kwenye mitandao... kuna mwingine nae tena jina kubwa, alimuanika mwenzie kwenye ma instagram as if yeye ni malaika pyuuu..!! mnachefua kwa kweli...

We Call génération of ------
 
Ni photoshop kaka, akaunti ya Mbasha haijaguswa kitambo sana!! Tangu February, labda kama ana akaunti ingine
mtahadhari sasa wanaJF hii sheria inakuja msijevishwa ngwanda za rangi ya chungwa
Publication of false information16.- Any person who publishes information, data or facts presented in a picture, text, symbol or any other form in a computer system where such information, data or fact is false, desceptive, misleading or inaccurate commits an offence, and shall on conviction be liable to a fine not less than three million shillings or to imprisonment for a term not less than six months or to both.
 
Kwa watanzania hayo magereza hayatoshi kama wataitekeleza sheria hiyo.
 
kawadanganye mapimbi wenzako.........
 
siko tayari kurudiana na MKE WANGU!!!! ebho?????
 
nanyi wafwas wa ngwasuma(gwajima),wanafki,tatizo la mbasha lilipotokea yalizungumzwa mengi kwenye mitandao na vyombo vngne vya habari,kuna maswal meng mlitaka ayajbu,leo katoa msimamo wake kwenye mtandao,ndio mnaona kakosea,akjibu maswal na hoja zenu kwa social networks hapo hakosei.Na yule anaesema anzeni kunirekod nimpe vdonge vyake(mfalme wa mipasho kuptia kanisa) na mkarekod na kuweka kwny mitandao hapo hakuna aliekosea? Au mpaka azae na ninyi kwanza na wake zenu ndio ndipo mumtoe akil.achen unafk.
 
My take: Jamaa anaonyesha ni muungwana sana.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama hasimami wima,sasa yeye kavuliwa nguo ana simama nakurukaruka,angenyamaza kimnya haikua na sababu yakusema chochote,atamrudia mkewe sawa asimrudie mkewe hiyari yake sio muhimu kwa yoyote zaidi yake yeye,kwani yeye wa kwanza Kusalitiwa au kugombana na mke...
 
Mara nyingine unaweza kumuheshimu mtu kupitiliza Kweli ule msemo wa usilolijua ni sawa na usiku wa giza una maana sana katika watu wenye flat standard of thinking huyu Emmanuel Mbasha amewapita wote.
 
Siamini kama hii twitter ni halali.!
 
Ukiangalia comments nyingi hapa zinazomponda mbasha ni za wanawake..
Kwa watu tuliopo kwenye ndoa tunajua jinsi wanawake walivo hivo hatuwez kumtukana mbasha kwa hilo..

Hawa viumbe ni waajabu sana ila ukiwakuta wanalalamika wao,dah..
 
Back
Top Bottom