nanyi wafwas wa ngwasuma(gwajima),wanafki,tatizo la mbasha lilipotokea yalizungumzwa mengi kwenye mitandao na vyombo vngne vya habari,kuna maswal meng mlitaka ayajbu,leo katoa msimamo wake kwenye mtandao,ndio mnaona kakosea,akjibu maswal na hoja zenu kwa social networks hapo hakosei.Na yule anaesema anzeni kunirekod nimpe vdonge vyake(mfalme wa mipasho kuptia kanisa) na mkarekod na kuweka kwny mitandao hapo hakuna aliekosea? Au mpaka azae na ninyi kwanza na wake zenu ndio ndipo mumtoe akil.achen unafk.