Emmanuel Mbasha asema hatakaa aoe tena maishani... ataishi kama Yesu au Paulo

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
STAA wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa ameamua kuahirisha suala la kuoa tena na katika maisha yake ataishi kama ‘Yesu’ au Paulo kwani wote hao hawakuoa.

Akistorisha na Star Mix, Mbasha alisema licha ya kwamba ni mwanaume aliyekamilika lakini amekuwa akimuomba Mungu na kweli anamsaidia katika kushinda vishawishi vya shetani.

“Ukiona niko na mwanamke ujue ni rafiki wa kawaida tu, tangu niachane na mke (Flora Mbasha) sijawahi kuzini na niko kawaida tu sina matatizo yoyote, yote hiyo ni Mungu ananisaidia pamoja na kufanya mazoezi sana, sina mpenzi wala mchumba kama wengi wanavyozusha maneno ya uongo,” alisema Mbasha.

Chanzo: Global Publishers




 
Kimaumbile asitudanganye kua mazoezi tu ndo yatamtosha kufuta matamanio yake mpaka anaenda akhera,aoe tu kwani binadamu wote si sawa.
 
Jamaa tajiri kwelikweli ( in kikwete's voice)
 
STAA wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa ameamua kuahirisha suala la kuoa tena na katika maisha yake ataishi kama ‘Yesu’ au Paulo kwani wote hao hawakuoa.
Mwambieni kila mtu anaweza kuishi bila kuoa kwahiyo asiseme ataishi kama Yesu au Paulo kwani wote hao wahakuoa bali atuambie kuanzia sasa hadi anaingia kaburini ataishi kama Yesu bila kugegeda...
 
Alisha haribu tayari kwakuwa alisha enjoy hiyo kitu yake flora na ya wengine ambapo amekuwa tofauti na yesu tayari maana huyo bwana yesu kwenye harakati zake mapenzi yaliyo zungumzwa ni kwa watu wote/ upendo, eti lakini. Au wali hariri harakati zake zingne wakaziweka pending mimi na wewe hatujui:
Kama namuona Yesu alivyo nuna kwa jamaa(Emmanuel mbasha) kujifananisha nae::
 
Inawezekana kuishi bila kugegeda ila kwa Mazingira anayoishi sio rahisi labda kama anapiga nyeto au vinginevyo
 
Kweli kuoa saivi ataongeza msongo wa mawazo,,,,, ila avichape tu vibinti aepushe kuvipa mimba maana mabinti kwa kutegesha hawajambo,,,, ila hivihivi akae bila kuchangamsha mwili hapana asitudanganye! Wengi tumefanyiwa ushetani wa wake zetu ila hakuna kukata tamaa,,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…