Emmanuel Mbasha asema hatakaa aoe tena maishani... ataishi kama Yesu au Paulo

Emmanuel Mbasha asema hatakaa aoe tena maishani... ataishi kama Yesu au Paulo

Yaani kwa lugha nyepesi ataendelea kufanya biashara bila leseni.
 
Keep up brother....ukipenda ukaoa ukatendwa ..ukioa tena...we chizi....hawa watu sio kabisa
 
STAA wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa ameamua kuahirisha suala la kuoa tena na katika maisha yake ataishi kama ‘Yesu’ au Paulo kwani wote hao hawakuoa.

Akistorisha na Star Mix, Mbasha alisema licha ya kwamba ni mwanaume aliyekamilika lakini amekuwa akimuomba Mungu na kweli anamsaidia katika kushinda vishawishi vya shetani.

“Ukiona niko na mwanamke ujue ni rafiki wa kawaida tu, tangu niachane na mke (Flora Mbasha) sijawahi kuzini na niko kawaida tu sina matatizo yoyote, yote hiyo ni Mungu ananisaidia pamoja na kufanya mazoezi sana, sina mpenzi wala mchumba kama wengi wanavyozusha maneno ya uongo,” alisema Mbasha.

Chanzo: Global Publishers

View attachment 692996


View attachment 692994

BWANA YESU NA PAULO WALIKUWA HAWAZINI WALA KUVAA VISURUALI VINAVYOBANA, PUMBAVU HAKIKA
 
Huyu nasikia ameanza chokochoko na Mange huko Insta, nasubiria ajichanganye zaidi tupate mafaili yake[emoji3]
 
mmmh too early kusema haya maneno arifu....hamna kitu inavuruga akili kama genye....umri wa 35-45 nikitu ingine ...labda angesema akifika miaka 55 kwenda mbele lakini hapa naona kuna chamgoto kubwa sana
 
MWENZAKE PETRO ALIKUWA TOWASHI (HANITHI) AU NA YEYE AMESHAKUWA HANITHI
 
Fixi tupu. Kama aliweza kunanihii na shemeji yake atawaacha wengine!!. Kila kiungo kina kazi yake
 
Back
Top Bottom