Emmanuel Mbasha asema hatakaa aoe tena maishani... ataishi kama Yesu au Paulo

Emmanuel Mbasha asema hatakaa aoe tena maishani... ataishi kama Yesu au Paulo

Suala la muda tu huyo flora ndoa yake ya sasa itavunjika km joyce
 
Kukaa maisha yake bila mke si jambo jema isipokuwa kwa yaliyo mpata ana haki ya kupunzuka mapenzi na asishikwe na tamaa hakuna kitu mbaya duniani kama ubakaji wa mapenzi unaweza kufa
 
STAA wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa ameamua kuahirisha suala la kuoa tena na katika maisha yake ataishi kama ‘Yesu’ au Paulo kwani wote hao hawakuoa.

Akistorisha na Star Mix, Mbasha alisema licha ya kwamba ni mwanaume aliyekamilika lakini amekuwa akimuomba Mungu na kweli anamsaidia katika kushinda vishawishi vya shetani.

“Ukiona niko na mwanamke ujue ni rafiki wa kawaida tu, tangu niachane na mke (Flora Mbasha) sijawahi kuzini na niko kawaida tu sina matatizo yoyote, yote hiyo ni Mungu ananisaidia pamoja na kufanya mazoezi sana, sina mpenzi wala mchumba kama wengi wanavyozusha maneno ya uongo,” alisema Mbasha.

Chanzo: Global Publishers

View attachment 692996


View attachment 692994
Kama umemegwa na mbasha muumbue hapa
 
Kwahiyo yeye atakua anapita nazo kama mondi na kusepa marioo anavitutuko huyu no wonder mke alimkimbia
 
Dogo ameshajeruhiwa akili anakurupuka kwa kauli za maumivu. Hatakiwi kuongelea hayo mambo ya kutooa tena, atulie na kufanya mambo mengine, akipona atafute mke aoe, hiyo ndio wito wake asiwaige Paulo na wengine. Yesu hakuwahi kuuoa, Mbasha ameoa na kutaliki kwa hiyo kujifananisha na Yesu ktk hilo ni kutukosea waamini.

Vv
 
Huko kuweweseka na kuongea ongea kila mara ni mateso tosha.
 
Back
Top Bottom