Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kama umemegwa na mbasha muumbue hapaSTAA wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa ameamua kuahirisha suala la kuoa tena na katika maisha yake ataishi kama ‘Yesu’ au Paulo kwani wote hao hawakuoa.
Akistorisha na Star Mix, Mbasha alisema licha ya kwamba ni mwanaume aliyekamilika lakini amekuwa akimuomba Mungu na kweli anamsaidia katika kushinda vishawishi vya shetani.
“Ukiona niko na mwanamke ujue ni rafiki wa kawaida tu, tangu niachane na mke (Flora Mbasha) sijawahi kuzini na niko kawaida tu sina matatizo yoyote, yote hiyo ni Mungu ananisaidia pamoja na kufanya mazoezi sana, sina mpenzi wala mchumba kama wengi wanavyozusha maneno ya uongo,” alisema Mbasha.
Chanzo: Global Publishers
View attachment 692996
View attachment 692994
Alikutafuna nnMbona nasikia sketi haikatishi pembeni yake
Kasoro mimi tuMuongo kweli kama wengi waliomo humu jf
Anafanya shughuli zipJamaa tajiri kwelikweli ( in kikwete's voice)
picha zake na suti tuu, simuonagi kawaida!Anafanya shughuli zip