Emmanuel Mbasha: Flora ndiye anayejua ukweli baba wa mtoto aliyejifungua

Emmanuel Mbasha: Flora ndiye anayejua ukweli baba wa mtoto aliyejifungua

Wapeleke huko ujinga wao wanasumbua vichwa vyao wenyewe, watu maisha yao wana solve wenyewe ya wageni nikujifurahisha tu na kupata story acha ujinga wao wafaidishe watu wakishituka kumekucha hakuna haja ya shuka kila mtu kivyake.
 
Wewe ni mhamiaji toka nchi gani na una muda gani hapa nchini Tanzania?
Anyways ngoja nikujibu; ni mume wa Flora Mbasha mwanamuziki wa nyimbo za injili naye pia ni msanii wa nyimbo za injili anayehisi kuchapiwa na mchungaji Gwajima!

huyo katokea somalia
 
Huyo Emanuel Mbasha nadhani ni mjinga kabisa, hajitambui kabisa. Hakupaswa kutoa jibu la kitoto kama hilo. Alipaswa kusema Mtoto ni wangu(Hata kama sio wa kwake) au Mtoto sio wangu(kwa sababu zozote) au Bado sijajua kama ni wangu ama sio wangu...(Akimaanisha anasubiri uthibitisho wa kisayansi nk).
hayo majibu yako yametosherezwa na jibu lake mbona...kwa sababu mama ndie anaejua baba harisi wa mtoto
 
hahaha....a...haya ngoja nipote kumbe nilipotea njia
hihihihiii ndio..... umeingia chaka shemejii hao kapo sijui wako kipande gani...wachana nao naona washa patana gwajima aliwaingiza mkenge akamla wifi hahaha
 
ahaha....ila prfile picha yako mzee mwenzangu si mchezo....naona mambo ya kitanga
 
poa mzee mwenzangu...nakutakia siku njema tutagumiana tena kwenye uzi mwingne humu humu jf
nipo hapa happa nasubiri kwenda kutembea kwa ajili ya wagonjwa wa kansa ya matiti ................................karibu
 
Back
Top Bottom