Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mhamiaji toka nchi gani na una muda gani hapa nchini Tanzania?
Anyways ngoja nikujibu; ni mume wa Flora Mbasha mwanamuziki wa nyimbo za injili naye pia ni msanii wa nyimbo za injili anayehisi kuchapiwa na mchungaji Gwajima!
Huyo Emmanuel Mbasha ndio nani mkuu?.
Ishu ngumu sana hizi...
Mmmmmmmmmmmh. Kitajulikana tuu.
hayo majibu yako yametosherezwa na jibu lake mbona...kwa sababu mama ndie anaejua baba harisi wa mtotoHuyo Emanuel Mbasha nadhani ni mjinga kabisa, hajitambui kabisa. Hakupaswa kutoa jibu la kitoto kama hilo. Alipaswa kusema Mtoto ni wangu(Hata kama sio wa kwake) au Mtoto sio wangu(kwa sababu zozote) au Bado sijajua kama ni wangu ama sio wangu...(Akimaanisha anasubiri uthibitisho wa kisayansi nk).
unatafuta nini kwenye uzi wa zamani hivi habari ya sasa ni sukari sukari sukarihayo majibu yako yametosherezwa na jibu lake mbona...kwa sababu mama ndie anaejua baba harisi wa mtoto
hihihihiii ndio..... umeingia chaka shemejii hao kapo sijui wako kipande gani...wachana nao naona washa patana gwajima aliwaingiza mkenge akamla wifi hahahahahaha....a...haya ngoja nipote kumbe nilipotea njia
hahah napenda ucheshi bhana always napenda kuwa happy ukiingia profile yangu fb unaweza cheeeka thats the way imahaha....ila prfile picha yako mzee mwenzangu si mchezo....naona mambo ya kitanga
poa mzee mwenzangu...nakutakia siku njema tutagumiana tena kwenye uzi mwingne humu humu jfhahah napenda ucheshi bhana always napenda kuwa happy ukiingia profile yangu fb unaweza cheeeka thats the way im
nipo hapa happa nasubiri kwenda kutembea kwa ajili ya wagonjwa wa kansa ya matiti ................................karibupoa mzee mwenzangu...nakutakia siku njema tutagumiana tena kwenye uzi mwingne humu humu jf