Emmanuel Mbasha na Flora Mbasha wapatana

Emmanuel Mbasha na Flora Mbasha wapatana

Hakuna kitu hapo

Gwajima kaamua kuyanyamazisha na dogo kabinywa ndude tu, mikandamizo inaendelea kama kawa

Kaja na staili ya Digtal kaona ile ya kumtengenezea Kesi na Analogia yupo busy anabuni njia bora ya kuchepuka kirahisi ikibidi Mbasha atakuwa akitumwa tumwa mbali au hata Dubai huku nyuma michepuko unaendelea Kama kawa, mwanamke hachungiki.
 
Huyo SAM LOVE kachemsha kweli ! Kasahau Kuwa wana JF ndio wamemrejesha Frola kwake baada ya kumkosoa saana kadhalika kufichua Uovu wake sanjari na Historia yake ndipo Frola akazinduka toka Michepukoni na Kurejea kwao , Vipi Mbasha na Frola wamepima Ukimwi? Najua watu watasema hayo ni Yao Binafsi , lakini kumbuka walitutangazia shida zao na sisi tunawajibu.

Usiseme wana JF sema wewe ndiye uliyemrudisha huyo Flora.

Mimi sijahusika na kumrudisha huyo Flora.

Kuna watu tulioamua kuishi maisha yetu na watu mlioamua kuongelea maisha ya watu.
 
Swali huko kwenye vikao Frola alikubali Kuwa ile Kesi ya Kubaka ilikuwa Feki? na hiyo kesi itafutwa au? Maana hapo ndipo penye kizungumkuti ! Hivi huyo mwanaume anajisikiaje baada ya kumegewa kisha watu wakasafisha nyumba yote sasa wanajidai kupatana

Bongo kila kitu kinawezekana Kesi itafutwa na watakuja na maneno ya kushinda kesi baada ya kukosa ushahidi Yule Binti atakuwa haendi mahakamani kisha itaonekana Hakuna mlalamikaji ! Mwanaume ni Bushoke hata akimegewa na wachungaji wote kisha akapelekwa jela zote yeye keshakariri Neno la kumpenda mke wake hivyo michepuko kwake sio issue.
 
Usiseme wana JF sema wewe ndiye uliyemrudisha huyo Flora.

Mimi sijahusika na kumrudisha huyo Flora.

Kuna watu tulioamua kuishi maisha yetu na watu mlioamua kuongelea maisha ya watu.

Tambua Kuwa Frola na Mbasha wao ndio waliamua kuyaanika Yao mbele ya Umma kwa nini hawakumaliza kimya kimya? Ukilete mambo yako kweupe lazima watu waongee lakini ukitaka ukimya kaa kimya ! Jikumbushe ile Penati ya Wadachi ilivyoleta maneno baada ya Ruben kukubali alijilusha na kusababisha penati ,lakini angekaa Kiimya Hakuna mtu angeongea kitu.
 
Mbasha ni mwanaume wa kuigwa! Ameweza kusamehe mke mchepukaji! Wanaume wote wangekuwa hivi mbona ndoa nyingi zingedumu!
 
Funika kombe mwanaharamu apite! Ndoa ni kuvumiliana! Na kumbuka 'mwonja haonji maramoja, akiacha keshashiba'
 
Kuna episode 2 inakuja. Kaa chonjo...
Kwani vile vitu vya ndani vilienda wapi? kuhusu gwajima na sembe na kuchepuka na Fololo?
 
Wana jamiiforums hebu mwenye ukweli kuhusu hizi tuhuma na mkanganyiko wa watatu hawa auweke hapa. Naamini hapa ndio mahali muafaka wa kupata taarifa kamili na muhimu.
 
Wana jamiiforums hebu mwenye ukweli kuhusu hizi tuhuma na mkanganyiko wa watatu hawa auweke hapa. Naamini hapa ndio mahali muafaka wa kupata taarifa kamili na muhimu.

hebu tuondolee uchuro hapa, kama huna kazi chukuwa fagio fagia hata mazingira ya kwako yawe safi chukuwa nguo chafu fuwa.
 
Gwajima ni Mchungaji na Askofu mkuu wa kanisa la kiwokovu.
Flora ni mwimbaji wa nyimbo za injiri
na Mbasha ni mume wake Flora.

Haya sema unataka nini zaidi?
 
Gwajima ni Mchungaji na Askofu mkuu wa kanisa la kiwokovu.
Flora ni mwimbaji wa nyimbo za injiri
na Mbasha ni mume wake Flora.

Haya sema unataka nini zaidi?

Gwajima ni mwizi wa wake za watu (zinifu).

Flora mbasha anachukuliwa na gwajima.


Emmanuel mbasha kaibiwa mke na gwajima.
 
Kachelewa kujua,Sijui alikuwa nchi gani,ambako hakuna Nyeti Work.
Ila anajibiwa kiufasaha,ndo raha ya jf hawakosi kukupa usiri kiano.
 
Back
Top Bottom