Emmanuel Mbasha na Flora Mbasha wapatana

Emmanuel Mbasha na Flora Mbasha wapatana

Mbasha ni mwanaume wa kuigwa! Ameweza kusamehe mke mchepukaji! Wanaume wote wangekuwa hivi mbona ndoa nyingi zingedumu!

Maweeeeee kweli wanaume tuna kazi hii stori kma udaku vile,ila mbasha anaroho ngumu mtu akupe case na jela ulale unasamehe hivihivi.ngumu kumeza gwajima kampa mbasha mshiko au sadaka za j2 moja afunge domo
 
Nawashangaa sana watu wanaotangaza mambo yao ya ndani magazetini!sielewi kabisa!!ila tumeumbwa tofauti mana wengine wanaona sifa!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbasha n buaz sana
Ametudalilisha sana wanaume cjui n kabila gani huyu kiaz mwanaune unakua
Muoga kama sizmiz very stupid[emoji35]
 
Back
Top Bottom