tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Mbasha ni mwanaume wa kuigwa! Ameweza kusamehe mke mchepukaji! Wanaume wote wangekuwa hivi mbona ndoa nyingi zingedumu!
Maweeeeee kweli wanaume tuna kazi hii stori kma udaku vile,ila mbasha anaroho ngumu mtu akupe case na jela ulale unasamehe hivihivi.ngumu kumeza gwajima kampa mbasha mshiko au sadaka za j2 moja afunge domo