Hakuna kitu hapo
Gwajima kaamua kuyanyamazisha na dogo kabinywa ndude tu, mikandamizo inaendelea kama kawa
Huyo SAM LOVE kachemsha kweli ! Kasahau Kuwa wana JF ndio wamemrejesha Frola kwake baada ya kumkosoa saana kadhalika kufichua Uovu wake sanjari na Historia yake ndipo Frola akazinduka toka Michepukoni na Kurejea kwao , Vipi Mbasha na Frola wamepima Ukimwi? Najua watu watasema hayo ni Yao Binafsi , lakini kumbuka walitutangazia shida zao na sisi tunawajibu.
Swali huko kwenye vikao Frola alikubali Kuwa ile Kesi ya Kubaka ilikuwa Feki? na hiyo kesi itafutwa au? Maana hapo ndipo penye kizungumkuti ! Hivi huyo mwanaume anajisikiaje baada ya kumegewa kisha watu wakasafisha nyumba yote sasa wanajidai kupatana
Usiseme wana JF sema wewe ndiye uliyemrudisha huyo Flora.
Mimi sijahusika na kumrudisha huyo Flora.
Kuna watu tulioamua kuishi maisha yetu na watu mlioamua kuongelea maisha ya watu.
Wana jamiiforums hebu mwenye ukweli kuhusu hizi tuhuma na mkanganyiko wa watatu hawa auweke hapa. Naamini hapa ndio mahali muafaka wa kupata taarifa kamili na muhimu.
Gwajima ni Mchungaji na Askofu mkuu wa kanisa la kiwokovu.
Flora ni mwimbaji wa nyimbo za injiri
na Mbasha ni mume wake Flora.
Haya sema unataka nini zaidi?
Gwajima ni mwizi wa wake za watu (zinifu).
Flora mbasha anachukuliwa na gwajima.
Emmanuel mbasha kaibiwa mke na gwajima.
Gwajima ni mwizi wa wake za watu (zinifu).
Flora mbasha anachukuliwa na gwajima.
Emmanuel mbasha kaibiwa mke na gwajima.
Duh! kazi hipo sasa.