Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

Kuna memeber niliona ame comment ya kuwa Nchimbi hana Makundi, nilishangaa sana. Nchimbi na Makonda hawawezi kufanya kazi pamoja kwa muda mrefu pamoja unless wawe na maslahi yanayofanana ama genge moja
 
Kama una hasira pasuka tu lakini huo ndio ukweli kuwa FOMU ya Urais ni moja tu kwa ajili ya Mh Dr Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ndiye mgombea pekee kupitia chama cha Mapinduzi
Bwatukaji wewe husiyetumia akili. Mambo yako hivi ndani ya CCM, Samia anapaswa kupitia mchakato wa kawaida wa uteuzi ndani ya chama kama ilivyokuwa kwa Marais wengine wanaowania hiyo nafasi kwa mara ya kwanza. Kumbuka Samia alidandia tren ikiwa kwenye mwendo.

Lakini kuna kundi jingine ndani ya chama linalomuona kafeli kwenye uendeshaji wa nchi na uchumi hivyo wanataka akajipumzikie kwao kizimukazi. Husisahau vilevile waafidhina wa Uzanzibar na Utanganyika changanya na jinsia.

Wachache na kwa hakika hawana nguvu ktk chama, ni chawa kama wewe wanaomdanganya kwa mapambio ya sifa. Punguza kujikomba keshokutwa utakosa la kuandika.
 
Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!

Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!

Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la muda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.

Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya chama kama ilivyo kawaida yake.
😆 😂 😆 😂 😆 mtafutemtafutemtafutewakucheza nae wimboomzurisana
 
Paulo Makonda anaondoka, Nchimbi amesema anapenda mijadala na watu wenye akili, sasa Makonda hana akili.

And, indeed, Makonda will be ousted unceremoniously.

Alikataa pema pa Chongolo, sasa kaletewa mwamba.
Ni Tanzania pekee mtu mwenye kipato cha kawaida anaweza kumuita mwenye kipato kikubwa hana akili tukiuliza akili zako zimekusaidia kupata kitu gani zaidi ya cheti na hela ya kula hana majibu.
 
Bwatukaji wewe husiyetumia akili. Mambo yako hivi ndani ya CCM, Samia anapaswa kupitia mchakato wa kawaida wa uteuzi ndani ya chama kama ilivyokuwa kwa Marais wengine wanaowania hiyo nafasi kwa mara ya kwanza. Kumbuka Samia alidandia tren ikiwa kwenye mwendo.

Lakini kuna kundi jingine ndani ya chama linalomuona kafeli kwenye uendeshaji wa nchi na uchumi hivyo wanataka akajipumzikie kwao kizimukazi. Husisahau vilevile waafidhina wa Uzanzibar na Utanganyika changanya na jinsia.

Wachache na kwa hakika hawana nguvu ktk chama, ni chawa kama wewe wanaomdanganya kwa mapambio ya sifa. Punguza kujikomba keshokutwa utakosa la kuandika.
Jibu ni moja tu kwamba FOMU ya Urais ndani ya CCM Ni moja tu kwa ajili ya Rais Samia.
 
Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!

Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!

Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la muda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.

Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya chama kama ilivyo kawaida yake.
akifanya hivyo usemavyo wewe inakuuma au inakukera nini?
 
Nchimbi ni sawa na ‘soldier of fortune’ (mercenary) vita ikiisha anaangalia biashara ingine, mkataba na Lowassa uliisha 2015.

Ila hii vita ya 2025 kama ita kuwepo awatoiweza iwapo chaguo ni mtu maalum wa kurekebisha dira na sioni wa kumsumbua ‘Bi Tozo’ zaidi ya Mwinyi.

Just a theory not factual
Mwinyi wa nn? Abaki huko huko Zenji, hii nchi sio ya kifalme eboooh
 
Ningekuelewa ungenipa sababu za msingi za kiutendaji kwanini hafai.

Ushauri wa bure katika maamuzi yako ya maisha yanayo kuimpact wewe moja kwa moja weka maslahi yako kwanza. Na kwenye maamuzi hayo jaribu kuweka emotions kitu cha mwisho kwenye kuchagua.

Ukiwa na mdogo teja na unaweka hela nyumbani ya kulisha familia. Ukimkuta mdogo wako mtaani ukamuonea huruma na kumchukua hiko siku atakulaza njaa ataiba hizo hela akijua chimbo, zikiisha iko siku utarudi utakuta kakata mtungi wa gas la fridge kaenda kuuza; atakupa hasara mpaka siku utakayo kubali ukweli abebeki kwa hali yake ya muda ule.

Achana na emotions za kabila la mtu, dini yake, rangi yake; angalia sifa zake huyu bwana/bibi kweli akishika hii nafasi ataniletea opportunities katika maisha yangu Binafsi, anaweza kweli kupambana na changamoto zetu ata kama sio kuzimaliza.

Never make decisions on emotional basis, when it comes to safeguarding your personal interests.
 
Wee tutolee upuuzi wako, huyo mwinyi atafanya nn jipyaa?
Hatutakii utawalaa wa ki imla, watu wapo wengi wa kushika dola, sio huyo mwinyi wako
 
Ndio unatakiwa utoe pendekezo lako sasa nani anafaa, huna lazima ya kukubali kuwa Mwinyi.

We unadhani mafisadi ya kisukuma yaliyo kwenye system, wafanyakazi wa serikali na vigogo wa CCM waliokuwa wananufaika na vitega uchumi vya CCM yalikuwa na hamu na Magufuli wakati wa uongozi wake sikia tu hadithi za JF na sukuma gang (ni propaganda mfu). Embu kutana na wasukuma wa aina hiyo chuki yao kwa Magufuli wakimsimulia huyo ChoiceVariable ana afadhali.

Watu wanaangalia nani anawafaa kwa maslahi yao, hakuna emotions huko serikalini.

Sasa wewe endelea kutaka kuona watu fulani hswafai sababu ya nafasi za awali za baba zao, au mahala walipotoka; badala ya kuangalia maslahi yako.
 
Mimi huwa nashindwa kuwaelewa watu huenda ni tatizo langu pekee maana Nchimbi anashambuliwa kwa kuwa alijitokeza hadharani kupinga mchakato wa kuteua mgombea urais 2015 yeye akiwa timu Lowasa.Kwangu mimi inaonesha jinsi alivyo na msimamo na asiyeyumbishwa kwa kile anachokiamini.CCM ndio waliopata athari za moja kwa moja kutokana na msimamo huo wa Nchimbi kwa wakati ule lakini hao hao CCM ndio tena wameamua kumteua kuwa GS wao sioni shida hapo.
Ni mjinga tu anaona alichofanya nchimbi wakati wa kumpata mgombea wa chama chao ni kuonyesha msimamo, kama kiongozi mwandamizi ndani ya chama chao hakupaswa kabisa kufanya hivyo alivyofanya, ziko kanuni za kufuata kupinga kilichotokea kwenye kikao na kuonyesha msimamo wako dhidi ya maamuzi yaliyofanyika, kistaarabu kuonyesha msimamo si kupinga hadharani kwa kuzomea kama alivyofanya..msimamo unaweza kuwa kujihudhuru, kupinga kwa maandishi au kujiondoa kama walivyofanya kina Mzee Sumaye kuonyesha kutokukubaliana na kilichofanyika..nchimbi hana sifa zozote za uongozi! ndio maana kote huko alikopita huwezi ona lolote linalomuelezea kuwa ni kiongozi mzuri! kama lipo taja hata moja tu..akiwa mwenyekiti uvccm, mbunge, waziri na badae balozi..
 
Ningekuelewa ungenipa sababu za msingi za kiutendaji kwanini hafai.

Ushauri wa bure katika maamuzi yako ya maisha yanayo kuimpact wewe moja kwa moja weka maslahi yako kwanza. Na kwenye maamuzi hayo jaribu kuweka emotions kitu cha mwisho kwenye kuchagua.

Ukiwa na mdogo teja na unaweka hela nyumbani ya kulisha familia. Ukimkuta mdogo wako mtaani ukamuonea huruma na kumchukua hiko siku atakulaza njaa ataiba hizo hela akijua chimbo, zikiisha iko siku utarudi utakuta kakata mtungi wa gas la fridge kaenda kuuza; atakupa hasara mpaka siku utakayo kubali ukweli abebeki kwa hali yake ya muda ule.

Achana na emotions za kabila la mtu, dini yake, rangi yake; angalia sifa zake huyu bwana/bibi kweli akishika hii nafasi ataniletea opportunities katika maisha yangu Binafsi, anaweza kweli kupambana na changamoto zetu ata kama sio kuzimaliza.

Never make decisions on emotional basis, when it comes to safeguarding your personal interests.
Mkuu, Unaandika vitu vya msingi ila unampigia mbuzi gitaa. Pumzisha akili yako kwa matumizi yenye tija hapo mbeleni.
 
Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!

Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!

Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la muda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.

Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya chama kama ilivyo kawaida yake.
achana na mambo ya kukariri
 
Ni Tanzania pekee mtu mwenye kipato cha kawaida anaweza kumuita mwenye kipato kikubwa hana akili tukiuliza akili zako zimekusaidia kupata kitu gani zaidi ya cheti na hela ya kula hana majibu.
Kwa hiyo kuiba vyeti na fedha za watu ndio akili
 
Ni Tanzania pekee mtu mwenye kipato cha kawaida anaweza kumuita mwenye kipato kikubwa hana akili tukiuliza akili zako zimekusaidia kupata kitu gani zaidi ya cheti na hela ya kula hana majibu.
Sijuhi Watanzania tumerogwa na nani? Jambazi akiwaibia mnamuona ana akili sababu ana pesa kuliko nyie? Tueleze vyanzo vya hicho kipato chake, au kwa akili yako unadhani mshahara unaweza kumfanya mtu awe tajiri?
 
Huna hoja yoyote ya msingi. Suala la kumgomea Kikwete na maamuzi yake ya mfukoni limenifanya nimheshimu hadi leo japo simkubali, lazima mtu uwe na msimamo sio kuburuzwa.

Ule mchakato ulikuwa batili, kama Mwenyekiti alikuwa na majina yake mfukoni kwanini aliitisha uchaguzi?
Katibu mpya ni loyal, nadhani ndio maana kapewa nafasi kwa kuwa anaweza kuaminika.
 
Back
Top Bottom