mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Labda kama kabila lake ni lile la watani zetu ambao nimeambiwa huwa wanafundishwa kutomsamehe mtu tangu wakiwa bado wadogo ! 😂😂Uzuri wale wanaotarajiwa kuguswa na kisasi bado wako na kumbukumbu za matendo yao na wako alert vibaya mno. Haitakuwa rahisi hivyo na simshauri aanze na angle ya kisasi.
Yaani atacheka na wewe kama kawaida lakini ujue hajakusamehe 😜😂🙈😂😂
Kama ni kweli basi hao watu ni shidaa ! 🙏🙏