RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Mshambuliaji mahiri Raia wa Uganda, Emanuel Gabriel Okwi muda mfupi uliopita amesaini mkataba wa kuichezea Klabu yake ya zamani, Simba Sports Club.
Amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Klabu yake hiyo ya zamani.
Kabla ya kujiunga leo na Simba alikuwa akiichezea klabu ya nchini Uganda ya Likizo FC.