Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Round ya kwanza imeisha,apewe muda upi tenaKama Timu yangu ya Simba imemsajili OKWI sababu ya Historia tu.. Viongozi wangu wamepotea sana.. Mavugo apewe muda
Niliotea sikuwepo. Muhimu zaidi kwa Yanga ni ubingwa mwisho wa msimu.
Nyie wapiga misumali Simba tuachie basi hata okw tu,Mavugo mmempiga misumari hafai tena,acheni bana mnatia hasara timu
Hiyo ni biashara ya wapiga dili,... Okwi ya kwake ni 170 tu hapo... Hanspope ya kwake ni 70...wanacheza na akili za mambumbumbu saa hizi. Kesho anachukua 6 mill. ananunua vitz anamzawadia kama mchezaji bora wa Simba, mashabiki woyooooo....! Subiri mpasuko tu hapo, na watu wala hawajali, wanachoangalia ni kupiga pesa tu. Mbumbumbu fc. Oyeeeeee
mavugo bado yupo hatoki huyuMe ombi langu pamoja na kumsainisha Okwi tena lakini mavugo aendelee kubaki Msimbazi
Sitanii ndg yangu, hiyo ndo biashara Kubwa ndani ya vilabu vya bongo,.. Hasa simba. Subiri uone mpasuko.Kama kuna ukweli flani hapa
Wapi nimetaja Yanga,kuwa na utulivuHahaaaa kwa iyo Yanga wabaya kiasi hiki wanaingilia kazi ya Mungu