Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Kwani Mavugo ana gori ngapiRound ya kwanza imeisha,apewe muda upi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mavugo ana gori ngapiRound ya kwanza imeisha,apewe muda upi tena
Yaan tanzania bhana soka halitaweza kabisa kuwa bora sasa okwi anarudi kutafuta nn? Tatizo kukalili tuu kwan hamna mchezaji mwingine mpka okwi?? Shame....! Simba sports clubView attachment 434958
Mshambuliaji mahiri Raia wa Uganda, Emanuel Gabriel Okwi muda mfupi uliopita amesaini mkataba wa kuichezea Klabu yake ya zamani, Simba Sports Club.
Amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Klabu yake hiyo ya zamani.
Kabla ya kujiunga leo na Simba alikuwa akiichezea klabu ya nchini Uganda ya Likizo FC.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ngojeni rigi ianze mtasanda wenyewe kibendera okwinyo. ......kibendera kichuya. ....ugali moto mboga moto! !!![emoji38]
Huyu hapanaaaaaa.... Sembo is reachable now.. [emoji16] [emoji16] [emoji16] kutoka kwenye maeneo korofi yenye network korofi.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tambwe kabeba NDOO nyingi za VPL kuliko Okwi.Okwi ni mchezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza VPL.
Welcome back Okwi. Mfalme amerudi.
Kucheza Yanga ni ndoto ya Kila player wa East Africa...Subiri utasikia Mavugo katimkia Yanga, tupo))
Hivi baada ya Okwi kupiga ule mpira wa mbali... Nani alikuwa bingwa vile wa msimu ule..?Yupo kichuya mzee wa kona ila Okwi nae ni mtaalam wa magoli ya mbali..kama upo karibu na Bathez wa yanga muulize atakuambia vizuri habari za okwilinho
Baada ya kushinda goli 5. Bingwa alikiwa nani?Kwenye zile tano bila ulikuwepo uwanjani?.kama ulikuwepo basi yaishie hapo hapo nisije kukutonesha jeraha alilokuachia king okwi
Kichuya atakuwa kama Martial. Okwi atacheza vyema mechi chache za kwanza kama Zlatan. Baada ya hapo atapotea kabisa.Kwa hio kichuya Ile Jezi atamuachia okwi au ataendelea nayo?
Hahahaaah.!Watamrudisha hadi Ulimboka Mwakingwe,na bado.
Baada ya kushinda goli 5. Bingwa alikiwa nani?
Ulivyo msahaulifu ule msimu mlipigwa tano na kombe tulibeba simba.. Mbona google ipo kwanini usiitumieBaada ya kushinda goli 5. Bingwa alikiwa nani?
Dah nimesumbuka kumjibu kumbe ulishamjibu mkuu... Amesahau kuwa tulibeba ndoo bila kupoteza mchezoSimba alikabidhiwa kombe kwani ulikua hujaja mjini kipindi kile au