Emmanuel Okwi asaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba sports club

Emmanuel Okwi asaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba sports club

Mh Mwenyekiti aliwahi kusema mashabiki Wa simba ni mbumbumbu kwa kocha wao katika wachezaji wooooote dunian kaumuona okwii tuuu
 
Nyie wapiga misumali Simba tuachie basi hata okw tu,Mavugo mmempiga misumari hafai tena,acheni bana mnatia hasara timu
 
Niliotea sikuwepo. Muhimu zaidi kwa Yanga ni ubingwa mwisho wa msimu.

Neno hili kaka, wao shida yao kuifunga Yanga si Ubingwa, na ndio maana wanahangaika na Okwi.
Lakini Yanga shida yao Ubingwa tu, mfunge Yanga lakini mwisho wa siku ni Ubingwa tu.
 
Kwa hio kichuya Ile Jezi atamuachia okwi au ataendelea nayo?
 
Hiyo ni biashara ya wapiga dili,... Okwi ya kwake ni 170 tu hapo... Hanspope ya kwake ni 70...wanacheza na akili za mambumbumbu saa hizi. Kesho anachukua 6 mill. ananunua vitz anamzawadia kama mchezaji bora wa Simba, mashabiki woyooooo....! Subiri mpasuko tu hapo, na watu wala hawajali, wanachoangalia ni kupiga pesa tu. Mbumbumbu fc. Oyeeeeee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] njaa imerudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] vyura macho kodo
 
Simba washaanza kurudisha wazee km walivyofanya kwa mgosi.....wanakaribia kumpa umeneja okwi nae...atakuwa flop la mwaka....!!kacheza ulaya hajafunga hata goli moja?
 
Naona simba wamemrudisha "mshikaji wao" hahahaha usajiri wa kishkaji huu,tusubiri tumuone
 
Hiyo ni biashara ya wapiga dili,... Okwi ya kwake ni 170 tu hapo... Hanspope ya kwake ni 70...wanacheza na akili za mambumbumbu saa hizi. Kesho anachukua 6 mill. ananunua vitz anamzawadia kama mchezaji bora wa Simba, mashabiki woyooooo....! Subiri mpasuko tu hapo, na watu wala hawajali, wanachoangalia ni kupiga pesa tu. Mbumbumbu fc. Oyeeeeee

Kama kuna ukweli flani hapa
 
yanga walijua tutamuacha mavugo wamchukue msitegemee hilo bakini na makapi yetu Tambwe
 
Atanikumbusha kolabo Okwi na Mafisango ambapo mkodisho FC alikula 5 O'clock
 
Back
Top Bottom