Zamani sio saiviOkwi ni mchezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza VPL.
Welcome back Okwi. Mfalme amerudi.
Ngoja aje mnyoleweZamani sio saivi
Yanga sijui mpoje tumewazidi point mbili bado mnaongea sana Mnyama ni moto wa kuotea mbali na mzunguko wa pili ukianza ni kupeta tuNgoja aje mnyolewe
Ni kweli Emanuel Gabriel Okwi amesain kuichezea simba??View attachment 434958
Mshambuliaji mahiri Raia wa Uganda, Emanuel Gabriel Okwi muda mfupi uliopita amesaini mkataba wa kuichezea Klabu yake ya zamani, Simba Sports Club.
Amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Klabu yake hiyo ya zamani.
Kabla ya kujiunga leo na Simba alikuwa akiichezea klabu ya nchini Uganda ya Likizo FC.
Me ombi langu pamoja na kumsainisha Okwi tena lakini mavugo aendelee kubaki Msimbazi