Emmanuel Okwi asaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba sports club

Okwi mmemleta ili hamfunge Yanga ila sio kuwasaidia kuchukua kombe

Wawarudishe mavetelani wao wote ila ubingwa ni kwa Yanga
 
Yaan tanzania bhana soka halitaweza kabisa kuwa bora sasa okwi anarudi kutafuta nn? Tatizo kukalili tuu kwan hamna mchezaji mwingine mpka okwi?? Shame....! Simba sports club
 
Okwi ni mchezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza VPL.
Welcome back Okwi. Mfalme amerudi.
Tambwe kabeba NDOO nyingi za VPL kuliko Okwi.

Tambwe kutupia Mabao mengi VPL kuliko huyo Okwi.

Tambwe amecheza mechi nyingi za Kimataifa (akiwa na Yanga kuliko Okwi)

Endeleeni kuamini mchezaji bora wa Kigeni kuwahi kukipiga Bongo ni Okwi...

Takwimu hizo!!! Zipinge!!
 
Yupo kichuya mzee wa kona ila Okwi nae ni mtaalam wa magoli ya mbali..kama upo karibu na Bathez wa yanga muulize atakuambia vizuri habari za okwilinho
Hivi baada ya Okwi kupiga ule mpira wa mbali... Nani alikuwa bingwa vile wa msimu ule..?
 
Kwa hio kichuya Ile Jezi atamuachia okwi au ataendelea nayo?
Kichuya atakuwa kama Martial. Okwi atacheza vyema mechi chache za kwanza kama Zlatan. Baada ya hapo atapotea kabisa.

Mechi za makabati zitazidi..... Yanga wataizidi simba alama 6 ambazo hakuna klabu itazifiakia... Yanga atakuwa bingwa.

Watabaki kumtafuta mchawi nani kati ya Kichuya (Martial) na Okwi (Zlatan)

Mwisho wa siku mmoja wao ataondoka klabuni hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…