ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
DaaahHizo ni takataka tu, Tanzania hakuna uchaguzi na wala hakuna wapiga kura kiasi hicho waliojitokeza kwenda kupiga kura ni maigizo ya hiyo inayojiita Tume Ya Uchaguzi.
Eti uchaguzi unafanyika na huku moja ya chama kinachoshiriki kwenye huo uchaguzi ndicho kinachosimamia huo wanaoita "Uchaguzi", ni ujinga wa kuchezea akili za watu.
Jana tu wamecheza Simba na Yanga, lakini hatukusikia kwamba mwamuzi ni Haji Manara. Serikali iache ujinga, kama hawataki uchaguzi wasiharibu hela za wananchi kwani hii nchi bado ni maskini sana.
CCM mbele kwa mbeleAiseee
MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO,
Jumla ya Wapigakura Waliojiandikisha mwaka 2020 walikuwa ni 115,538
Jumla ya wapigakura Waliopiga kura kwenye marudio ya Uchaguzi wa Jimbo la Ngorongoro wa tarehe 11|12|2021 ni 62,528
Jumla ya Kura halali ni 62,461 huku jumla ya kura 67 zikikataliwa,
MATOKEO KWA MUJIBU WA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI,
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai amepata jumla ya kura 62,017 sawa na 99.18% ya kura zote zilizopigwa,
Mwitikio wa wapigakura ni 54% ya wapigakura wote waliojiandikisha mwaka 2020.
Hakika Watanzania bado wanaimani kubwa sana na ccm-Tanzania.
=====
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini leo Jumapil imemtangaza Bw. Emmanuel Lekishon Shangai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa ndie Mshindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ngorongoro kwa kupata kura 62,017 Kati ya kura halali 62,461. Uchaguzi ambao vyama vikuu vya
Upinzani viliususia
Mgombea wq ACT Wazalendo kapata kura 170 na Saimon Ngilisho wa Demokrasia Makini kapata kura 105.
View attachment 2041384View attachment 2041385
Akina nani?Wote wanaona aibu
Akina nani?
Mimi ni simba Sports CLUBUtopolo !!
Amewashinda akina nani sasa?Wapinzani hawajaibiwa kura maana kila mda wwo ndo huibiwa kura yaan badala ya kuwekeza wao propaganda ndo kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
#Kaziindelee TanzaniaMATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO,
Jumla ya Wapigakura Waliojiandikisha mwaka 2020 walikuwa ni 115,538
Jumla ya wapigakura Waliopiga kura kwenye marudio ya Uchaguzi wa Jimbo la Ngorongoro wa tarehe 11|12|2021 ni 62,528
Jumla ya Kura halali ni 62,461 huku jumla ya kura 67 zikikataliwa,
MATOKEO KWA MUJIBU WA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI,
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai amepata jumla ya kura 62,017 sawa na 99.18% ya kura zote zilizopigwa,
Mwitikio wa wapigakura ni 54% ya wapigakura wote waliojiandikisha mwaka 2020.
Hakika Watanzania bado wanaimani kubwa sana na ccm-Tanzania.
=====
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini leo Jumapil imemtangaza Bw. Emmanuel Lekishon Shangai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa ndie Mshindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ngorongoro kwa kupata kura 62,017 Kati ya kura halali 62,461. Uchaguzi ambao vyama vikuu vya
Upinzani viliususia
Mgombea wq ACT Wazalendo kapata kura 170 na Saimon Ngilisho wa Demokrasia Makini kapata kura 105.
View attachment 2041384View attachment 2041385
Kulikuwa na haja gani kupoteza pesa zetu ili hali mlikuwa pekee yenu. Halafu eti mnajipongeza kwa unafiki wenu ccm Mungu anawaona na tume yenu.Tanzania hakuna Upinzani ila waganga njaa wachache tu
Hivi kukikuwa na UCHAGUZI?, MBONA kampeni hazikuwepo??Tanzania hakuna Upinzani ila waganga njaa wachache tu
Haya. Endelea kujifariji. Mda utasema.Tanzania hakuna Upinzani ila waganga njaa wachache tu
Hakukuwa na uchaguzi hapo weye. Bange tupuMATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO
Jumla ya Wapigakura Waliojiandikisha mwaka 2020 walikuwa ni 115,538
Jumla ya wapigakura Waliopiga kura kwenye marudio ya Uchaguzi wa Jimbo la Ngorongoro wa tarehe 11|12|2021 ni 62,528
Jumla ya Kura halali ni 62,461 huku jumla ya kura 67 zikikataliwa.
MATOKEO KWA MUJIBU WA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI.
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai amepata jumla ya kura 62,017 sawa na 99.18% ya kura zote zilizopigwa.
Mwitikio wa wapigakura ni 54% ya wapigakura wote waliojiandikisha mwaka 2020.
Hakika Watanzania bado wanaimani kubwa sana na CCM-Tanzania.
=====
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini leo Jumapil imemtangaza Bw. Emmanuel Lekishon Shangai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa ndie Mshindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ngorongoro kwa kupata kura 62,017 Kati ya kura halali 62,461. Uchaguzi ambao vyama vikuu vya Upinzani viliususia
Mgombea wq ACT Wazalendo kapata kura 170 na Saimon Ngilisho wa Demokrasia Makini kapata kura 105.
View attachment 2041384View attachment 2041385
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzaniaMATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO
Jumla ya Wapigakura Waliojiandikisha mwaka 2020 walikuwa ni 115,538
Jumla ya wapigakura Waliopiga kura kwenye marudio ya Uchaguzi wa Jimbo la Ngorongoro wa tarehe 11|12|2021 ni 62,528
Jumla ya Kura halali ni 62,461 huku jumla ya kura 67 zikikataliwa.
MATOKEO KWA MUJIBU WA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI.
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai amepata jumla ya kura 62,017 sawa na 99.18% ya kura zote zilizopigwa.
Mwitikio wa wapigakura ni 54% ya wapigakura wote waliojiandikisha mwaka 2020.
Hakika Watanzania bado wanaimani kubwa sana na CCM-Tanzania.
=====
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini leo Jumapil imemtangaza Bw. Emmanuel Lekishon Shangai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa ndie Mshindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ngorongoro kwa kupata kura 62,017 Kati ya kura halali 62,461. Uchaguzi ambao vyama vikuu vya Upinzani viliususia
Mgombea wq ACT Wazalendo kapata kura 170 na Saimon Ngilisho wa Demokrasia Makini kapata kura 105.
View attachment 2041384View attachment 2041385
Kachape kaziMATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO

HahahahaNchi ina vituko hii!!