Emmanuel Shangai (CCM) Jimbo la Ngorongoro ashinda Uchaguzi. Ndiye mrithi wa William Tate Ole Nasha (RIP)

Kumbe kulikuwa na uchaguzi???, Democracy imekufa Tz, without chadema there is No competitive election, Bora ccm ipite bila kupinga ili kuokoa fedha za walipa Kodi,kwenye demokrasia bado tuko nyuma saaaana ukilinganisha na majirani zetu wakenya,
 
Wameandaa uchaguzi wenyewe na wamejichagua wenyewe kusimamia na wamempitisha wenyewe
 
CCM ndio CHAMA
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Hongera sana
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…