Emmerson Mnangagwa atangazwa kushinda tena Urais Zimbabwe

Emmerson Mnangagwa atangazwa kushinda tena Urais Zimbabwe

Mlio twita mama abdul hajatuma salamu za pongezi?
 
Hizo taasisi zenyewe huwa hazikomai zinasubiri ukomavu wa wengine tu, huoni hayo ni mambo ya bendera fuata upepo?

Kwani wewe ndiyo unayetaka kuwa bendera fuata upepo?

Kwani wenye uchu wa ubunge wako kwao kwetu? Hao wagombea wako kwao kwetu?

Kwa nini kutaka kutafutiwa tu? Au sisi ni mafao na maokoto tu?
 
Dah huyu mzee amenikumbusha documentary ya Aljazeera ya MAFIA GOLD... iko youtube angalien viongoz wa Africa wanavyojua kutafuna nchi.. aljazeraa walienda Anda kava wakavujisha biashara ya kutakatisha fedha na madini ya nchi yanavyotoroshwa

Wamo hao mnaowaita wachungaj wakubwa africa na viongoz wa zaman na walio madarakan wa Africa

Kuanzia east west had south africa
Hatari sana hawa walanchi.
 
Ukiiacha Kenya na Zambia nchi zingine zote afrika kukiangusha chama tawala ni kwa njia ya mapinduzi TU
 
Ukiiacha Kenya na Zambia nchi zingine zote afrika kukiangusha chama tawala ni kwa njia ya mapinduzi TU
 
Back
Top Bottom