Dah huyu mzee amenikumbusha documentary ya Aljazeera ya MAFIA GOLD... iko youtube angalien viongoz wa Africa wanavyojua kutafuna nchi.. aljazeraa walienda Anda kava wakavujisha biashara ya kutakatisha fedha na madini ya nchi yanavyotoroshwa
Wamo hao mnaowaita wachungaj wakubwa africa na viongoz wa zaman na walio madarakan wa Africa
Kuanzia east west had south africa