Emoji mpya za mwanaume kubeba mimba kwenye ios 15.4, ushoga unazidi kupromotiwa

Emoji mpya za mwanaume kubeba mimba kwenye ios 15.4, ushoga unazidi kupromotiwa

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Hawa wazungu ni wapuuzi sana, sasa hivi wameleta emoji mpya kwenye simu ambazo zinaonekana wanaume wamebeba mimba.

Naona agenda ya kutangaza ushoga inazidi kushika kasi, tunaelekea wapi?

B2AE4A66-2E9A-410F-9BB1-059D9F1AAFE7.jpeg
 
Hawa wazungu ni wapuuzi sana, sasa hivi wameleta emoji mpya kwenye simu ambazo zinaonekana wanaume wamebeba mimba.

Naona agenda ya kutangaza ushoga inazidi kushika kasi, tunaelekea wapi?

View attachment 2152547
Wewe una matatizo. Lini mashoga walibeba mimba? Nifahamisheni kama sijui.

Wewe ndo unaendeleza kupromote huna tofauti na wao.
 
😂😂😂
Tim Cook mwenyewe alishasema anapigwa miti mnategemea nini sasa?

Marekani utamaduni wao wa kipumbavu wanataka kila mtu aukubali.

Yani wao kwa kua wanapenda kupigwa miti wanataka kila mtu akubali kupigwa miti.

Halafu ni mambo ya ajabu kwa sababu hata Marekani sidhani mashoga wanafika hata 2% ya population lakini nguvu wanayotumia kuutangaza utafikiri nusu ya wanaume Marekani ni mashoga.

Utamaduni wetu wa kuoa wanawake wengi ambao ni common sense kabisa kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo kuoa wengi ni kupunguza wategemezi na watoto wasio na wazazi wanaupinga balaa.

Sasa wameamua wanaume mbebe mimba😂
 
Hawa wazungu ni wapuuzi sana, sasa hivi wameleta emoji mpya kwenye simu ambazo zinaonekana wanaume wamebeba mimba.

Naona agenda ya kutangaza ushoga inazidi kushika kasi, tunaelekea wapi?

View attachment 2152547
Hao ni transmen, yani wanawake waliobadili jinsia, ambao huwa wanaweza kushika mimba wakitaka

Wengi wa wanaobadili jinsia kuwa wanaume huamua kubeba mimba wao wenyewe wakiwa wanataka watoto, mara nyingi kwa kupandikizwa

Sasa hao whatsapp wanjikuta ni app ya watu wa aina zote ndio maana wameweka emoji hiyo
 
Back
Top Bottom