Emoji mpya za mwanaume kubeba mimba kwenye ios 15.4, ushoga unazidi kupromotiwa

Emoji mpya za mwanaume kubeba mimba kwenye ios 15.4, ushoga unazidi kupromotiwa

Mimba iyo acheni kutetea ujinga angalia hata ya kike jinsi alivyoshika kwa mkono
brand sio yenu ushabiki tu

Na bado watakuja na sauti ya ushoga si ndo haki za binadamu izo
 
Mimba iyo acheni kutetea ujinga angalia hata ya kike jinsi alivyoshika kwa mkono
brand sio yenu ushabiki tu

Na bado watakuja na sauti ya ushoga si ndo haki za binadamu izo
Kuna watu wanatetea upuuz huu
 
Sasa tangu lini mwanaume akabeba mimba nawewe...😂😂ila inafikirisha namna alivyoshika kitambi chake
 
Sasa tangu lini mwanaume akabeba mimba nawewe...[emoji23][emoji23]ila inafikirisha namna alivyoshika kitambi chake

Hakuna kitambi cha hivyo waache kujifariji, bahati mbaya/nzuri sijui tafsiri za emojis ila agenda ya 'apple' inajulikana kwenye ushoga.
 
Hii ni biashara kama zingine,watu wanawapigisha pesa tu.
Mambo ya maadili na Mungu mtajua wenyewe
 
Back
Top Bottom