nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Na kwanini kumwambia mtu una mimba nini iwe tusi??Hiyo Ni emoji ya tusi na sio uhalisia, mtaani unamwambia mtu unamimba nini! Sasa ipo emoji yake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hahahahaha dahMtoa mada anatoa ndogo
Kitambi huwa hakishikwi hivyo.Umejuaje kama ni mimba? Mimi naona vitambi tu hapo akili yako umeibagaza.
Hamna kitambi kinashikwa Hivyo Bhana, acheni kutetea ujingaKwa nini umefikiria ni mimba na sio kitambi
Kuna watu wanatetea upuuz huuMimba iyo acheni kutetea ujinga angalia hata ya kike jinsi alivyoshika kwa mkono
brand sio yenu ushabiki tu
Na bado watakuja na sauti ya ushoga si ndo haki za binadamu izo
Kwa kweliKuna watu wanatetea upuuz huu
Sasa tangu lini mwanaume akabeba mimba nawewe...[emoji23][emoji23]ila inafikirisha namna alivyoshika kitambi chake