Emotionless People: Ifahamu falsafa ya Stoicism

Mate...;

Neuralphysiology
ni somo linalojihusisha na jinsi neva zinavyotoa na kupokea taarifa hujikita zaidi katika ufanyaji kazi wa mfumo wa fahamu wa mwili. Autonomic Nervous System (ANS) Ni sehemu ya mfumo wa fahamu ambao huratibu matendo yanayofanyika ukiwa hujitambui au ukiwa umelala, pia huratibu shughuli mbalimbali za mwili kama vile mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula, kutanuka na kusinyaa kwa mboni,hamu ya kufanya mapenzi nk nk. Lakini pia shughuli yake kubwa ni kuratibu tezi ya Adrenali Kupambana au kukimbia pindi linapotokea tatizo Fulani. Kwa lugha rahisi Emotions vile mtu anavyojisikia, Saikolojia inasema kwamba Emotions zinasababishwa na mchanganyiko wa Homoni na unconscious mind, saikolojia inaongeza kua Emotions ni mambo ya kibailojia ambayo yanahusiana na mfumo wa fahamu na mabadiliko ya Neuralphysiolojia yahusianayo na mawazo,hisia,majibu ya tabia na kiwango cha raha au karaha..….Hivyo basi mambo yote hapo juu yanakua yanaratibiwa na mfumo wa Autonomic Nervous System (ANS) katika mwili wa mwanadamu.

Emotions zinmegawanywa katika makundi makuu manne ambayo kila moja imebeba mambo mawili ambayo hukinzana, makundi hayo ni:- Joy (furaha)/sadness(huzuni) Acceptance(kukubali-liwa)/disgust(kukataa-liwa), Anger (hasira)/fear(uoga), Surprise(mshituko-kizo)/anticipation(kutegemea). Lakini pia kuna aina zingine nyiingi za emotions kama vile anxiety,aggression,boredom,doubt,apathy,empathy,envy,embarrassment,frustration,gratitude,grief,guilt,hatred,hope,horror,hostility,hunger,loneliness,love,pride,shock,shame,suffering, sympathy, nk nk.

NB: Japo kwa tunaogonga yai la Kiswahili tafsiri ya neno Emotions na Feelings vyote vina maana moja ambapo ni Hisia, ila kwa lugha ya wenzetu maneno haya yana tofauti pana hasa kwenye upande wa saikolojia hivyo jitahidi usiyachanganye. Emotions ni mwitio wa mwili ambao unakua zimeamrishwa kupitia Neuraltransmitters na homoni zilizotolewa na ubongo. Ila Feelings ni ile experience unayoipata baada ya kuwa na emotional. So technically feeling zinatengenezwa na emotion kwa lugha rahisi tunaweza kusema feelings ni Output ya emotions.

Mwaka 334BC eneo Fulani liitwalo Citium katika jiji la Cyprus nchini Ugiriki (ya zamani) alizaliwa bwana mmoja anaitwa Zeno, kwakua nyakati hizo waliwaita watu majina yao kutokana na sehemu walizozaliwa kama vile Yesu wa Nazareth, Thomas wa Akwino, Francis wa Asizi nk nk basi nae jamaa huyu aliitwa Zeno wa Citium. Huyu bwana alikua mwanafalsafa aliyetumia akili yake vizuri katika kuwaza na kutatua changamoto zilizo mkabili,Huyu bwana aliigawa falsafa katika makundi matatu ambayo ni logic,Physics na Ethics.

Stoicism
View attachment 1756867
Zeno alifungua shule yake ya falsafa akawa anawafundisha watu flasafa yake ya stoicism ambayo ilikua na misingi ya watangulizi wake ambao ni plato, chrysspus (huyu chryspuss alikufa kwa kucheka, alitunga kichekesho/joke kikamchekesha akacheka hadi akafariki…sijui ndio akili nyingi mpaka unakua chizi).

Watu wanaofuata falsafa hii ya stoicism (stoic) wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujishikiza au kuendeshwa na emotions hizo nilizozitaja hapo juu yaani usiwe nafuraha,usiwe na huzuni,usiwe na hasira, usitegee kitu,usijikubali, usijikatae au kulazimisha kukubalika katika jamii nk nk. Wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujisumbua na vitu ambavyo wewe huwezi kuvi-Contorl inatakiwa uache mazingira/nature ndio ifanye kazi yake, kama itakuletea furaha basi chukua,kama itakuletea huzuni chukua yaani upokee chochote kile ambacho mazingira itakuletea.

Watu hawa nao hua ni wafiasi wa ile theory inayosema kwamba Attaching to material is detachement to the materials hivyo basi wao hawajihangaishi kutafuta pesa wala kujilimbikizia mali maana wanasema pesa na mali nyingi haziwezi kukupa furaha wala kupendwa sana hakuwezi kukupa furaha nk nk. Wao wanachojali zaidi ni kuheshimu Nature na kuiacha ifanye kazi maishani mwao kadri ipendavyo, japo stoic hawakatazwi kua na mali bali mali hizo ziwe zimekuja maishani mwako automatically kwa ruhusu ya Power of Nature maana baadhi ya wafuasi wa falsafa hii ambao ni maarufu walikua na mali nyingi tu kama vile Marcus aurelius aliyekua mtawala wa Roma na Seneca aliyekua milionea.

So thes guys wanachofanya ni ku-control Autonomic Nervous System zisiweze kuratibu uzalishaji wa emotions kwa mtu, katika mada zangu kadhaa nilieleza kwamba unaweza ku-draw your inner strength to face or to heal the body. Hivyo basi kwa kutumia reolientation of Soul wanaweza kuconvice ubongo uweze kuratibu emotions zao ziwe kadri ya vile wao wanapenda kua.

Lakini pia kuna watu tu by default wanazaliwa wao hawapendi mali wala kujishikiza kwenye material things yoyote…….wao wako tayari kupokea chochote kile tu ambacho nature itawapatia maishani mwao, binafsi naona hii ni falsafa bora ya kuishi nayo maishani maana ukiishi hivi huwezi kua na tama ya mali,madaraka wala umaarufu ambavyo ni vitu vilivyopoteza uhai wa wengi na kusababisha wengi kukosa haki zao kutoka kwenye mamlaka za ulimwengu. Yafaa nini kupata mali zote ulimwenguni mwenyewe huku wenzio wakiwa wanataabu pomoni na matatizo yasiyo isha. Ila kwa mwanaume hii hali ina madhara yake maana utatakiwa kuwa na familia ambayo uta-belong to, and belonging means to provide,care,responsibility,duty,lead,protectnk nk Unless labda uamue kutokua na familia kabisa uwe wewe kama wewe. Ukifuatilia wanafalsafa waliofuta falsafa hii wengi walikua hawana familia maana wanaamini mke na watoto nayo ni material that a man possess

Unlike Stoicism kuna hii falsafa nyingine inaitwa Cynicism (maana ya Cynic ni mtu aishie kama mbwa/homeless au yahaya), wafuasi wa falsafa hii wanafundisha kwamba mwanadamu unatakiwa usiwe na tama yoyote ya kupata furaha wala hutakiwi kuwa na mali zozote maishani maana wanaamini kua kama unataka kitu Fulani ukikipata utataka kingine, ukikipata utataka kingine hivyo hivyo maisha yako yote itakua hivo. This is correct maana maishani mwetu kila mtu hua halidhiki na kile alichonacho akipata kile anachotamani basi atataka kingine tena zaidi ya kile..n.dio maana kuna msemo unasema pesa haishi utamu. Wanafundisha kwamba kama unataka furaha maishani basi hutakiwi kua na tama ya vitu au kujishikiza katika vitu/materials yoyote katika dunia hii, ishi maisha safi ya kawaida tu kwa kujali wengine bila kua na tama ya vitu maana furaha ya maisha haipo kwenye mali wala pesa since pesa sio kila kitu maishani.

Kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Crates wa Thebe huyu bwana alipokua mfuasi wa falsafa ya cynicism alitupa mali zake zote baharini, kuna mwanamke mmoja aliitwa hipprochia alimpenda huyu bwana na maisha yake haya haya ya kutokujishikiza katika tamaa ya vitu/mali hivyo basi huyu mwanamke anye alitelekeza mali zake kutoka kwenye familia yake akaoana na jamaa wakaishi maisha duni.

Naamini humu jukwaani wapo watu wa namna hii so take this top as your shot to shout out and come out – to meet some peoples like you, Stoic.

-Da'Vinci

=======×××=====
Related Topics
Kumbe hivi nilivyo ndio kusema watu walikwisha kutengenezea jina la philosophy, nimeshangaa kuona maelezo ya stoicism ni exactly vile ninavyoamini na ninavyoishi. Asante kwa maarifa kijana da'vinci.
 
Emotions , hasira

Basically ni 5-HT , hydroxytryptamine
Shortly serotonin
 
Stoicism tunaipinga ni mawazo yake anyway Kama mawazo ya Maslow na hierarchy of the needs sio kila kitu ni sahihi

Binadamu hawezi kuzuia hisia zake hata wanaopitia mafunzo makubwa ya kuzuia hisia hurudi kule kule mwanzoni

Life is all about emotions , instincts na hicho ndicho kinatutofautisha na wanyama wengine
 
Nature needs to be controlled

All wealth people duniani they know about this thing control nature , manipulate it reach the higher dimensions of understanding it na utafika mbali

It is nature that corresponds to our reactions not us reacting to nature
 
Pia autonomic nervous system hazizalishi emotion

Zenyewe ni response ya emotion uliyo nayo

Ukiwa na hasira, hofu zitafanya Mambo Kama

1. Pupil dilation

2. Anal contractions

3. Ejaculation

4. Blood vessels vasoconstriction

5. Urinary bladder Ina relax ndo maana unaona mtu muda wa hatari anajikojolea

Fear , emotions are always stimulated by amygdala followed by hippocampus

Hii ndo maana baadhi ya watu walioharibika amygdala huwa tunaona hawa respond to danger

I miss you Vinci .
 
Emotions zinaongozwa na vitu mbali mbLi from brain esp limbic system

Mfano furaha inaongozwa na precuneus na watu wenye gray matter nyingi eneo hilo huwa tunawa observe na kuwaona watu wenye furaha zaidi kuliko wengine
 
Nature needs to be controlled

All wealth people duniani they know about this thing control nature , manipulate it reach the higher dimensions of understanding it na utafika mbali

It is nature that corresponds to our reactions not us reacting to nature
Because of this, the Stoics thought the best indication of an individual's philosophy was not what a person said but how a person behaved. To live a good life, one had to understand the rules of the natural order since they thought everything was rooted in nature.

Even in stoic no one is stronger or greater than nature. In order to practice it, you should be bounded well with nature not material wealth.
 
Ukiwa Stoic mambo mengi hayakushangazi
 
Mate...;

Neuralphysiology
ni somo linalojihusisha na jinsi neva zinavyotoa na kupokea taarifa hujikita zaidi katika ufanyaji kazi wa mfumo wa fahamu wa mwili. Autonomic Nervous System (ANS) Ni sehemu ya mfumo wa fahamu ambao huratibu matendo yanayofanyika ukiwa hujitambui au ukiwa umelala, pia huratibu shughuli mbalimbali za mwili kama vile mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula, kutanuka na kusinyaa kwa mboni,hamu ya kufanya mapenzi nk nk. Lakini pia shughuli yake kubwa ni kuratibu tezi ya Adrenali Kupambana au kukimbia pindi linapotokea tatizo Fulani. Kwa lugha rahisi Emotions vile mtu anavyojisikia, Saikolojia inasema kwamba Emotions zinasababishwa na mchanganyiko wa Homoni na unconscious mind, saikolojia inaongeza kua Emotions ni mambo ya kibailojia ambayo yanahusiana na mfumo wa fahamu na mabadiliko ya Neuralphysiolojia yahusianayo na mawazo,hisia,majibu ya tabia na kiwango cha raha au karaha..….Hivyo basi mambo yote hapo juu yanakua yanaratibiwa na mfumo wa Autonomic Nervous System (ANS) katika mwili wa mwanadamu.

Emotions zinmegawanywa katika makundi makuu manne ambayo kila moja imebeba mambo mawili ambayo hukinzana, makundi hayo ni:- Joy (furaha)/sadness(huzuni) Acceptance(kukubali-liwa)/disgust(kukataa-liwa), Anger (hasira)/fear(uoga), Surprise(mshituko-kizo)/anticipation(kutegemea). Lakini pia kuna aina zingine nyiingi za emotions kama vile anxiety,aggression,boredom,doubt,apathy,empathy,envy,embarrassment,frustration,gratitude,grief,guilt,hatred,hope,horror,hostility,hunger,loneliness,love,pride,shock,shame,suffering, sympathy, nk nk.

NB: Japo kwa tunaogonga yai la Kiswahili tafsiri ya neno Emotions na Feelings vyote vina maana moja ambapo ni Hisia, ila kwa lugha ya wenzetu maneno haya yana tofauti pana hasa kwenye upande wa saikolojia hivyo jitahidi usiyachanganye. Emotions ni mwitio wa mwili ambao unakua zimeamrishwa kupitia Neuraltransmitters na homoni zilizotolewa na ubongo. Ila Feelings ni ile experience unayoipata baada ya kuwa na emotional. So technically feeling zinatengenezwa na emotion kwa lugha rahisi tunaweza kusema feelings ni Output ya emotions.

Mwaka 334BC eneo Fulani liitwalo Citium katika jiji la Cyprus nchini Ugiriki (ya zamani) alizaliwa bwana mmoja anaitwa Zeno, kwakua nyakati hizo waliwaita watu majina yao kutokana na sehemu walizozaliwa kama vile Yesu wa Nazareth, Thomas wa Akwino, Francis wa Asizi nk nk basi nae jamaa huyu aliitwa Zeno wa Citium. Huyu bwana alikua mwanafalsafa aliyetumia akili yake vizuri katika kuwaza na kutatua changamoto zilizo mkabili,Huyu bwana aliigawa falsafa katika makundi matatu ambayo ni logic,Physics na Ethics.

Stoicism
View attachment 1756867
Zeno alifungua shule yake ya falsafa akawa anawafundisha watu flasafa yake ya stoicism ambayo ilikua na misingi ya watangulizi wake ambao ni plato, chrysspus (huyu chryspuss alikufa kwa kucheka, alitunga kichekesho/joke kikamchekesha akacheka hadi akafariki…sijui ndio akili nyingi mpaka unakua chizi).

Watu wanaofuata falsafa hii ya stoicism (stoic) wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujishikiza au kuendeshwa na emotions hizo nilizozitaja hapo juu yaani usiwe nafuraha,usiwe na huzuni,usiwe na hasira, usitegee kitu,usijikubali, usijikatae au kulazimisha kukubalika katika jamii nk nk. Wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujisumbua na vitu ambavyo wewe huwezi kuvi-Contorl inatakiwa uache mazingira/nature ndio ifanye kazi yake, kama itakuletea furaha basi chukua,kama itakuletea huzuni chukua yaani upokee chochote kile ambacho mazingira itakuletea.

Watu hawa nao hua ni wafiasi wa ile theory inayosema kwamba Attaching to material is detachement to the materials hivyo basi wao hawajihangaishi kutafuta pesa wala kujilimbikizia mali maana wanasema pesa na mali nyingi haziwezi kukupa furaha wala kupendwa sana hakuwezi kukupa furaha nk nk. Wao wanachojali zaidi ni kuheshimu Nature na kuiacha ifanye kazi maishani mwao kadri ipendavyo, japo stoic hawakatazwi kua na mali bali mali hizo ziwe zimekuja maishani mwako automatically kwa ruhusu ya Power of Nature maana baadhi ya wafuasi wa falsafa hii ambao ni maarufu walikua na mali nyingi tu kama vile Marcus aurelius aliyekua mtawala wa Roma na Seneca aliyekua milionea.

So thes guys wanachofanya ni ku-control Autonomic Nervous System zisiweze kuratibu uzalishaji wa emotions kwa mtu, katika mada zangu kadhaa nilieleza kwamba unaweza ku-draw your inner strength to face or to heal the body. Hivyo basi kwa kutumia reolientation of Soul wanaweza kuconvice ubongo uweze kuratibu emotions zao ziwe kadri ya vile wao wanapenda kua.

Lakini pia kuna watu tu by default wanazaliwa wao hawapendi mali wala kujishikiza kwenye material things yoyote…….wao wako tayari kupokea chochote kile tu ambacho nature itawapatia maishani mwao, binafsi naona hii ni falsafa bora ya kuishi nayo maishani maana ukiishi hivi huwezi kua na tama ya mali,madaraka wala umaarufu ambavyo ni vitu vilivyopoteza uhai wa wengi na kusababisha wengi kukosa haki zao kutoka kwenye mamlaka za ulimwengu. Yafaa nini kupata mali zote ulimwenguni mwenyewe huku wenzio wakiwa wanataabu pomoni na matatizo yasiyo isha. Ila kwa mwanaume hii hali ina madhara yake maana utatakiwa kuwa na familia ambayo uta-belong to, and belonging means to provide,care,responsibility,duty,lead,protectnk nk Unless labda uamue kutokua na familia kabisa uwe wewe kama wewe. Ukifuatilia wanafalsafa waliofuta falsafa hii wengi walikua hawana familia maana wanaamini mke na watoto nayo ni material that a man possess

Unlike Stoicism kuna hii falsafa nyingine inaitwa Cynicism (maana ya Cynic ni mtu aishie kama mbwa/homeless au yahaya), wafuasi wa falsafa hii wanafundisha kwamba mwanadamu unatakiwa usiwe na tama yoyote ya kupata furaha wala hutakiwi kuwa na mali zozote maishani maana wanaamini kua kama unataka kitu Fulani ukikipata utataka kingine, ukikipata utataka kingine hivyo hivyo maisha yako yote itakua hivo. This is correct maana maishani mwetu kila mtu hua halidhiki na kile alichonacho akipata kile anachotamani basi atataka kingine tena zaidi ya kile..n.dio maana kuna msemo unasema pesa haishi utamu. Wanafundisha kwamba kama unataka furaha maishani basi hutakiwi kua na tama ya vitu au kujishikiza katika vitu/materials yoyote katika dunia hii, ishi maisha safi ya kawaida tu kwa kujali wengine bila kua na tama ya vitu maana furaha ya maisha haipo kwenye mali wala pesa since pesa sio kila kitu maishani.

Kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Crates wa Thebe huyu bwana alipokua mfuasi wa falsafa ya cynicism alitupa mali zake zote baharini, kuna mwanamke mmoja aliitwa hipprochia alimpenda huyu bwana na maisha yake haya haya ya kutokujishikiza katika tamaa ya vitu/mali hivyo basi huyu mwanamke anye alitelekeza mali zake kutoka kwenye familia yake akaoana na jamaa wakaishi maisha duni.

Naamini humu jukwaani wapo watu wa namna hii so take this top as your shot to shout out and come out – to meet some peoples like you, Stoic.

-Da'Vinci

=======×××=====
Related Topics
mkuu ungeweka neno unavyohisi na si kujisikia
 
Because of this, the Stoics thought the best indication of an individual's philosophy was not what a person said but how a person behaved. To live a good life, one had to understand the rules of the natural order since they thought everything was rooted in nature.

Even in stoic no one is stronger or greater than nature. In order to practice it, you should be bounded well with nature not material wealth.
Ooh wow
 
"......Subconcious Mind hii ndio sehemu kuu ya Roho (Soul) ambayo kazi yake ni kurekodi shughuli zetu za kila siku ziwe za kimwili au kiroho.

Sasa kwenye maisha halisi ipo hivi, unapofanya kitu fulani roho(subconcious mind) yako inarekodi. Labda siku moja uliwahi kuwa na mahusiano/ Kutongozwa/za na mwanaume au mwanamke ambao kwako wewe ambae wewe unaona hakufai, roho yako inahifadhi taarifa kwamba uko interested na watu wa namna hiyo. Au siku moja imetokea umeiba kitu roho itahifadhi taarifa. Siku umeenda jela basi roho itasevu. siku ukitembea na mtu aliekuzidi umri roho itahifadhi nk. Kwa upande wa Psychology roho tunasema kwamba Roho (Subconcious mind) inafanya kazi kwa ukaribu zaidi au inashirikiana katika kutenda kazi na Nature.

Kwa hiyo sasa unapofanya kitu fulani roho yako ikakihifadhi, baadae Roho itawasiliana na Nature kwamba unapenda vitu fulani hivyo nature itakua inakuletea vitu hivyo mara kwa mara..."

QUOTED kwenye mada yangu fulani.
Mara zote Nature huwa inatabia ya kushinda. Kwa sababu Nature ni kama (Set) na mwanadamu ni kama (Sub-set) ya nature. So always Nature atashinda tu.
 
Subconscious mind hutenda kazi ikishirikiana sambamba na Nature, kuna hali Fulani unawez kua nayo katika maisha labda ni upweke,huzuni,kukosa faraja kiufupi unakua huna furaha au amani ya maisha. So kinachotokea ni kwamba
Subconcious mind inawasiliana na Nature kua mwanadamu huyu (yaani wewe) una matatizo Fulani maishani inaiamuru nature kutafuta mtu wa kuja maishani mwako ambae ataendana na hali ile uliyonayo.

Baada ya muda mfupi utajikuta umepata rafiki ukawa nae anakuliwaza kweli hadi ile hali ikawa imeisha..Mind ikishaona mentally ya huyu mtu iko stable inamuamuru nature kuruhusu yule mtu kuondoka au akaendelea kubaki. Hapo sasa ndio utaona umepata rafiki labda ni mwanamke au mwanaume akawa anakupa company sana kwa hali uliyonayo kwa muda Fulani (hata mwaka mzima. Unajikuta umekua attached sana na mtu huyo then inafika muda bila sababu yoyote ile ya msingi unaona mawasiliano na urafiki unapungua taratibu then unaisha kabisa. Hapo nature inakua ishafanya yake..
Thanks for the nice knowledge Davinc

Safi sana Vinci endelea kushusha nondo.
 
Mate...;

Neuralphysiology
ni somo linalojihusisha na jinsi neva zinavyotoa na kupokea taarifa hujikita zaidi katika ufanyaji kazi wa mfumo wa fahamu wa mwili. Autonomic Nervous System (ANS) Ni sehemu ya mfumo wa fahamu ambao huratibu matendo yanayofanyika ukiwa hujitambui au ukiwa umelala, pia huratibu shughuli mbalimbali za mwili kama vile mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula, kutanuka na kusinyaa kwa mboni,hamu ya kufanya mapenzi nk nk. Lakini pia shughuli yake kubwa ni kuratibu tezi ya Adrenali Kupambana au kukimbia pindi linapotokea tatizo Fulani. Kwa lugha rahisi Emotions vile mtu anavyojisikia, Saikolojia inasema kwamba Emotions zinasababishwa na mchanganyiko wa Homoni na unconscious mind, saikolojia inaongeza kua Emotions ni mambo ya kibailojia ambayo yanahusiana na mfumo wa fahamu na mabadiliko ya Neuralphysiolojia yahusianayo na mawazo,hisia,majibu ya tabia na kiwango cha raha au karaha..….Hivyo basi mambo yote hapo juu yanakua yanaratibiwa na mfumo wa Autonomic Nervous System (ANS) katika mwili wa mwanadamu.

Emotions zinmegawanywa katika makundi makuu manne ambayo kila moja imebeba mambo mawili ambayo hukinzana, makundi hayo ni:- Joy (furaha)/sadness(huzuni) Acceptance(kukubali-liwa)/disgust(kukataa-liwa), Anger (hasira)/fear(uoga), Surprise(mshituko-kizo)/anticipation(kutegemea). Lakini pia kuna aina zingine nyiingi za emotions kama vile anxiety,aggression,boredom,doubt,apathy,empathy,envy,embarrassment,frustration,gratitude,grief,guilt,hatred,hope,horror,hostility,hunger,loneliness,love,pride,shock,shame,suffering, sympathy, nk nk.

NB: Japo kwa tunaogonga yai la Kiswahili tafsiri ya neno Emotions na Feelings vyote vina maana moja ambapo ni Hisia, ila kwa lugha ya wenzetu maneno haya yana tofauti pana hasa kwenye upande wa saikolojia hivyo jitahidi usiyachanganye. Emotions ni mwitio wa mwili ambao unakua zimeamrishwa kupitia Neuraltransmitters na homoni zilizotolewa na ubongo. Ila Feelings ni ile experience unayoipata baada ya kuwa na emotional. So technically feeling zinatengenezwa na emotion kwa lugha rahisi tunaweza kusema feelings ni Output ya emotions.

Mwaka 334BC eneo Fulani liitwalo Citium katika jiji la Cyprus nchini Ugiriki (ya zamani) alizaliwa bwana mmoja anaitwa Zeno, kwakua nyakati hizo waliwaita watu majina yao kutokana na sehemu walizozaliwa kama vile Yesu wa Nazareth, Thomas wa Akwino, Francis wa Asizi nk nk basi nae jamaa huyu aliitwa Zeno wa Citium. Huyu bwana alikua mwanafalsafa aliyetumia akili yake vizuri katika kuwaza na kutatua changamoto zilizo mkabili,Huyu bwana aliigawa falsafa katika makundi matatu ambayo ni logic,Physics na Ethics.

Stoicism
View attachment 1756867
Zeno alifungua shule yake ya falsafa akawa anawafundisha watu flasafa yake ya stoicism ambayo ilikua na misingi ya watangulizi wake ambao ni plato, chrysspus (huyu chryspuss alikufa kwa kucheka, alitunga kichekesho/joke kikamchekesha akacheka hadi akafariki…sijui ndio akili nyingi mpaka unakua chizi).

Watu wanaofuata falsafa hii ya stoicism (stoic) wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujishikiza au kuendeshwa na emotions hizo nilizozitaja hapo juu yaani usiwe nafuraha,usiwe na huzuni,usiwe na hasira, usitegee kitu,usijikubali, usijikatae au kulazimisha kukubalika katika jamii nk nk. Wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujisumbua na vitu ambavyo wewe huwezi kuvi-Contorl inatakiwa uache mazingira/nature ndio ifanye kazi yake, kama itakuletea furaha basi chukua,kama itakuletea huzuni chukua yaani upokee chochote kile ambacho mazingira itakuletea.

Watu hawa nao hua ni wafiasi wa ile theory inayosema kwamba Attaching to material is detachement to the materials hivyo basi wao hawajihangaishi kutafuta pesa wala kujilimbikizia mali maana wanasema pesa na mali nyingi haziwezi kukupa furaha wala kupendwa sana hakuwezi kukupa furaha nk nk. Wao wanachojali zaidi ni kuheshimu Nature na kuiacha ifanye kazi maishani mwao kadri ipendavyo, japo stoic hawakatazwi kua na mali bali mali hizo ziwe zimekuja maishani mwako automatically kwa ruhusu ya Power of Nature maana baadhi ya wafuasi wa falsafa hii ambao ni maarufu walikua na mali nyingi tu kama vile Marcus aurelius aliyekua mtawala wa Roma na Seneca aliyekua milionea.

So thes guys wanachofanya ni ku-control Autonomic Nervous System zisiweze kuratibu uzalishaji wa emotions kwa mtu, katika mada zangu kadhaa nilieleza kwamba unaweza ku-draw your inner strength to face or to heal the body. Hivyo basi kwa kutumia reolientation of Soul wanaweza kuconvice ubongo uweze kuratibu emotions zao ziwe kadri ya vile wao wanapenda kua.

Lakini pia kuna watu tu by default wanazaliwa wao hawapendi mali wala kujishikiza kwenye material things yoyote…….wao wako tayari kupokea chochote kile tu ambacho nature itawapatia maishani mwao, binafsi naona hii ni falsafa bora ya kuishi nayo maishani maana ukiishi hivi huwezi kua na tama ya mali,madaraka wala umaarufu ambavyo ni vitu vilivyopoteza uhai wa wengi na kusababisha wengi kukosa haki zao kutoka kwenye mamlaka za ulimwengu. Yafaa nini kupata mali zote ulimwenguni mwenyewe huku wenzio wakiwa wanataabu pomoni na matatizo yasiyo isha. Ila kwa mwanaume hii hali ina madhara yake maana utatakiwa kuwa na familia ambayo uta-belong to, and belonging means to provide,care,responsibility,duty,lead,protectnk nk Unless labda uamue kutokua na familia kabisa uwe wewe kama wewe. Ukifuatilia wanafalsafa waliofuta falsafa hii wengi walikua hawana familia maana wanaamini mke na watoto nayo ni material that a man possess

Unlike Stoicism kuna hii falsafa nyingine inaitwa Cynicism (maana ya Cynic ni mtu aishie kama mbwa/homeless au yahaya), wafuasi wa falsafa hii wanafundisha kwamba mwanadamu unatakiwa usiwe na tama yoyote ya kupata furaha wala hutakiwi kuwa na mali zozote maishani maana wanaamini kua kama unataka kitu Fulani ukikipata utataka kingine, ukikipata utataka kingine hivyo hivyo maisha yako yote itakua hivo. This is correct maana maishani mwetu kila mtu hua halidhiki na kile alichonacho akipata kile anachotamani basi atataka kingine tena zaidi ya kile..n.dio maana kuna msemo unasema pesa haishi utamu. Wanafundisha kwamba kama unataka furaha maishani basi hutakiwi kua na tama ya vitu au kujishikiza katika vitu/materials yoyote katika dunia hii, ishi maisha safi ya kawaida tu kwa kujali wengine bila kua na tama ya vitu maana furaha ya maisha haipo kwenye mali wala pesa since pesa sio kila kitu maishani.

Kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Crates wa Thebe huyu bwana alipokua mfuasi wa falsafa ya cynicism alitupa mali zake zote baharini, kuna mwanamke mmoja aliitwa hipprochia alimpenda huyu bwana na maisha yake haya haya ya kutokujishikiza katika tamaa ya vitu/mali hivyo basi huyu mwanamke anye alitelekeza mali zake kutoka kwenye familia yake akaoana na jamaa wakaishi maisha duni.

Naamini humu jukwaani wapo watu wa namna hii so take this top as your shot to shout out and come out – to meet some peoples like you, Stoic.

-Da'Vinci

=======×××=====
Related Topics
Kwenye hayo mambo ya utabibu sijui Neuro... mara ANS,huko sina ujuzi nako. Kwahiyo sina la kusema,ila ulipowagusia kina Zeno na falsafa zao nafikiri huyu ndiyo alikuwa wa mwisho mwisho katika falsafa za kale za Magharihi,falsafa yake kama sikosei kwa Kiswahili tunaiita "Falsafa ya Ustoa(sina kumbukumbu vizuri)"

Katika hawa Wanafalsafa nina maneno ya Mwanachuoni mmoja,yenye kufaa kuandikwa kwa wino wa dhahabu,anasema hivi "Katika watu ambao huenda wangekuwa bora baada ya manabii ni Wanafalsafa( hao wamagharibi) sababu walikuwa wana maswali sahihi ila walikosa ala(silaha,nyenzo) za kuwapa majibu sahihi".(Rejew kitabu "Ibn Taymiyyah against the Greek Logicians" kwa Kiarabu husomeka "Nasihaat Ahlul Imaan fi radd 'ala Mantiq al Yunaani") kitabu bora sana.

Ndiyo maana ukiangalia mafundisho yao yamemili katika kuzembea na kuchupa mipaka,yaani yanaenda kinyume na uhalisia na akili iliyo salama inakataa mafundisho hayo.

Ni hayo tu katika hili.

Shukrani kwa wito huu.
 
Back
Top Bottom